Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Haya ndiyo maajabu ya nchi iliyobadili jina

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA miaka mingi, iliitwa Nauru, kabla ya kubadili jina hivi karibuni na kujiita Jamhuri ya Naoero. Inafahamika kuwa ni nchi ya...

Wajawazito DRC na changamoto ya Ebola

BUNIA, DRC MLIPUKO wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeathiri kwa kiasi kikubwa utaratibu wa wajawazito kwenda kliniki, kama anavyoeleza...

Vijana wa Liberia na urahibu wa bangi

MONROVIA, Liberia KATIKA mitaa ya Mji Mkuu, Monrovia, utumizi wa dawa za kulevya aina ya bangi si jambo linalohitaji utafiti mkubwa kulibaini, na badala yake...

Arsenal bado wamkomalia Guimaraes

LONDON, Uingereza ARSENAL hawajarudi nyuma katika mpango wao wa kumsajili nahodha wa kikosi cha Newcastle United, Bruno Guimaraes. Taarifa zinaeleza kuwa Washika Bunduki wako kwenye meza...

Barcelona yaambiwa imchukue Osimhen

CATALUNYA, Hispania NI ushauri wa mkongwe Andres Iniesta, akiitaka klabu yake ya zamani ya Barcelona kumsajili straika wa Galatasaray, Victor Osimhen. Kwa mujibu wa Iniesta, nyota...

Wenger amkana Infantino, asema asihusishwe

NYON, Uswis MKONGWE wa Arsenal, Arsene Wenger, amekana kuhusika katika uliokuwa mpango wa Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, kuuza hisa...

Caicedo hataki Enzo aondoke Chelsea

LONDON, Uingereza KIUNGO wa Chelsea, Moises Caicedo, amekiri kuwa hatamani kuona staa mwenzake, Enzo Fernandez, akiondoka klabuni hapo kama inavyoelezwa na vyombo vya habari. Caicedo ameeleza...

Iran, Marekani kufikia mwafaka, Hormuz kufunguliwa

WASHINGTON DC, Marekani MAREKANI imetangaza kuwa itafikia makubaliano na Iran ndani ya siku mbili zijazo juu ya kufungua Mlango-Bahari wa Hormuz na kurejesha utulivu Mashariki...

Mpasuko ndani ya uongozi wa Iran?

TEHRAN, Iran LENGO ni moja tu, kuhakikisha dunia inatambua na kuheshimu nguvu ya Iran, hasa dhidi ya Marekani na washirika wake, ikiwamo Israel. Katika hili,...

Gaza katikati ya matumani, giza la hofu

JERUSALEM, Palestina KAULI ya Rais Donald Trump kwamba kundi la Hamas limekubali kuweka silaha chini limeibua matumaini kwa wananchi wa Palestina kuanza kuishi maisha ya...

Kwanini Venezuela imejitoa ICC?

CARACAS, Venezuela SIKU chache zilizopita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela, Felix Plasencia, alitangaza uamuzi wa nchi hiyo kuondosha uanachama wake katika Mahakama ya...

Hiki ndicho chanzo cha guvu ya waasi Nigeria?

LAGOS, Nigeria KWA miaka mingi sasa, Nigeria imegubikwa na matukio ya uhalifu katika maeneo yake mengi. Watu takribani 3,000 wametekwa kwa kipindi cha mwaka mmoja...

Recent articles