Ads: info@gazetini.co.tz |
21.5 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

ICC yagoma kumwachia Duterte

MANILA, Ufilipino MAHAKAMA ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) itaendelea kumshikilia Rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte, baada ya ombi lake kugonga mwamba. Duterte amekuwa kizuizini...

Burna Boy amemfuta kazi mama yake?

LAGOS, NigeriaZIPO taarifa zinazodai kuwa kwa sasa mama mzazi hataendelea kuwa meneja wa staa wa muziki wa Afrobeat, Burna Boy.Minong'ono ya Burna Boy kumsitishia...

Ramos aachana na mabosi wake Mexico

MEXICO City, MexicoBEKI wa zamani wa Real Madrid, Sergio Ramos, ameachana na klabu yake ya Rayados inayoshiriki Ligi Kuu ya Mexico.Ramos, ambaye pia alikuwa...

City yamfungia kazi kiungo huyu

MANCHESTER, EnglandMABOSI wa Manchester City wamemuweka kwenye rada zao kiungo wa kimataifa wa England, Elliot Anderson.Kwa mujibu wa taarifa, Man City inavutiwa na mchezaji...

Wirtz sasa kuondoka Liverpool kwa mkopo

MERSEYSIDE, UingerezaMSHAMBULIAJI mpya wa Liverpool, Florian Wirtz, huenda akatimka klabuni hapo ifikapo Januari, mwakani.Licha ya feha nyingi zilizotumika kumng'oa Bayern Leverkusen, Wirtz ameshindwa kung'ara...

Chelsea v Arsenal … Refa wa kadi nyingi akabidhiwa ‘shoo’

LONDON, UingerezaCHELSEA watakuwa nyumbani Stamford Bridge kesho kuwaalika Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu, ambao ni 'derby' Jiji la London.Arsenal wanaongoza Ligi wakiwa na...

Vijana na mitazamo tofauti juu ya Waziri Mkuu mpya

TOKYO, JapanKWA mara ya kwanza katika historia ya siasa za Japan, Sanae Takaichi amekuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi nyeti ya Waziri Mkuu.Wakati huo...

Kane kuibukia wapi akiondoka Bayern?

MUNICH, UjerumaniTANGU aliyojiunga na Bayern Munich akitokea Tottenham, mshambuliaji wa kimataifa wa England, Harry Kane, amefungia timu hiyo tangu Bundesliga jumla ya mabao 109...

Arsenal ya Arteta na takwimu za kibabe

LONDON, UingerezaUSHINDI wa mabao 3-1 dhidi ya Bayern Munich ni ujumbe mzito wa Arsenal kwa wapinzani wao msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya...

Kenya yaongoza nguo za mitumba Afrika

Na mwandishi wetu, GazetiniUTAFITI wa Taasisi ya Teknolojia ya Massachusetts (MIT) umebaini kuwa Kenya kwa sasa ndilo taifa linaloagiza kwa kiasi kikubwa zaidi nguo...

Kampuni ya Apple na utata wa madini, vita DRC

Na mwandishi wetu, GazetiniKAMPUNI maarufu ya teknolojia ya Apple inakabiliwa na kashfa nzito ikitajwa kunufaika na mgogoro wa muda mrefu unaoendelea Jamhuri ya Kidemokrasia...

Guinea-Bissau na historia ya mapinduzi ya kijeshi

Na mwandishi wetu, GazetiniSIKU chache zilizopita, maofisa waandamizi wa jeshi nchini Guinea-Bissau walitangaza kuipindua Serikali ya Rais Umaro Sissoco Embalo. Ni hatua iliyofuatiwa na...

Recent articles