Ads: info@gazetini.co.tz |
23.4 C
Dar es Salaam

Infographics

Nyuma ya pazia ‘bifu’ zito la Peter, Paul wa P-SQUARE

LAGOS, Nigeria MAMBO yamezidi kuwa mabaya kwa mapacha waliowahi kutikisa soko la muziki barani Afrika kupitia Kundi la P-Square, Peter na Paul Okoye. Okoye ametangaza rasmi...

Tume yaanika idadi walipoteza maisha Oktoba 29

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema kuwa...

Mambo 10 Bayern ikitwaa tena ubingwa Bundesliga

MUNICH, Ujerumani BAYERN Munich wameendeleza ubingwa wao Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) baada ya kutwaa taji hilo kwa msimu wa pili mfululizo. Bayern wamebaki na taji...

TAKUKURU yafichua wizi wa Sh bilioni 147.5 kupitia kadi za benki

Na mwandishi wetu, Gazetini MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Crispin Chalamila, amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwapo kwa mtandao...

AGENDA yahimiza mapinduzi ya uhifadhi misitu Tanzania, uharibifu wazidi…

Na mwandishi wetu, Gazetini MACHI 21 kila mwaka, dunia huadhimisha Siku ya Misitu Duniani kwa lengo la kuhamasisha jamii kutambua mchango mkubwa wa misitu katika...

Dk. Yonazi ateta na bosi mpya TACAIDS, Tanzania yaendelea kudhibiti UKWIMWI

Na mwandishi wetu, Gazetini Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dk. Jim Yonazi, amekutana na kufanya...

Ripoti: Tanzania kitovu kikuu cha uwekezaji wa madini duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini TANZANIA imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kivutio kikubwa cha uwekezaji wa kimataifa katika sekta ya madini, baada ya kuorodheshwa miongoni mwa...

Je, wewe unatumia teknolojia gani ya mtandao; 2G, 3G, 4G au 5G?

Na mwandishi wetu, Gazetini TANZANIA inaendelea kupiga hatua katika upatikanaji wa huduma za mawasiliano kupitia teknolojia mbalimbali za mitandao ya simu. Kwa mujibu wa ripoti ya...

Visual| Marais ving’ang’anizi wa madaraka duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini FEBRUARI 28, 2026 imeingia kwenye kumbukumbu baada ya kuwa ndiyo siku aliyouawa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, ambaye aliuawa katika ...

Lebo zilivyogeuka ‘jeneza’ la Bongo Fleva

Na mwandishi wetu, Gazetini MIAKA ya hivi karibuni imeshuhudia migogoro mingi ya wanamuziki wa Bongo Fleva na mabosi wa lebo zao. Mfano wa hivi karibuni ni...

Jay Z; Kutoka ‘uswazi’, kukimbizana na polisi hadi bilionea wa Hip hop

Na mwandishi wetu, Gazetini NI rahisi kuona watu wakikuwekea chuki na wivu kwa vile tu umefanikiwa, bila kujua umepitia shida nyingi kufika hapo ulipo. Wanachukulia...

Biashara haramu ya dawa tiba za kulevya, kengele mpya ya tahadhari

Na mwandishi wetu, Gazetini KUKAMATWA kwa chupa 1,795 za dawa tiba zenye asili ya kulevya katika basi la abiria lililokuwa likitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

Recent articles