Ads: info@gazetini.co.tz |
23.7 C
Dar es Salaam

Infographics

Tanzania yaandika historia soko la helium

Na Mwandishi wetu, Gazetini TANZANIA imeanza rasmi safari mpya ya kihistoria katika sekta ya madini baada ya kuingia kwenye ramani ya dunia kama mzalishaji na...

Manunuzi ya silaha za kivita yashika kasi duniani

NEW YORK, Marekani TAASISI ya Tafiti za Amani ya Stockholm nchini Sweden (SIPRI) imebaini kuwa manunuzi ya silaha za kivita duniani yamekuwa makubwa zaidi kuwahi...

Sekta ya Madini Tanzania; bajeti 2026/2027

Na mwandishi wetu, Gazetini BUNGE la Jamhuru ya Muungano wa Tanzania, limeridhia na kupitisha bajeti ya Wizara ya Madini ya sh bilioni 174.9 kwa Mwaka...

Hatua za Tanzania katika kutokomeza Malaria

Na mwandishi wetu, Gazetini TANZANIA imepiga hatua kubwa katika kupunguza athari za malaria, huku takwimu za hivi karibuni zikionyesha kupungua kwa vifo, maambukizi na wagonjwa...

Siku ya Usalama kazini 2026: Mambo muhimu kujua

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI imesema jumla ya watu 3,557 wamepata ajali wakiwa kazini katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia 2023 hadi 2025, huku watu...

Watoto 75,500 nchini kuchunguzwa Sikoseli

Na mwandishi wetu, Gazetini JUMLA ya watoto na vijana wapatao 75,500 wanatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa ugonjwa wa selimundu (sikoseli) ili kubaini mapema hali zao za...

Mantra Tanzania LTD Empowers Local Talent, Inspires Hope with New Workforce for Mkuju River Project

Mantra Tanzania Limited has proudly welcomed ten newly trained equipment operators to support the next phase of development at the Mkuju River Project in...

Nyuma ya pazia ‘bifu’ zito la Peter, Paul wa P-SQUARE

LAGOS, Nigeria MAMBO yamezidi kuwa mabaya kwa mapacha waliowahi kutikisa soko la muziki barani Afrika kupitia Kundi la P-Square, Peter na Paul Okoye. Okoye ametangaza rasmi...

Tume yaanika idadi walipoteza maisha Oktoba 29

Na Mwandishi Wetu, Gazetini TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, imesema kuwa...

Mambo 10 Bayern ikitwaa tena ubingwa Bundesliga

MUNICH, Ujerumani BAYERN Munich wameendeleza ubingwa wao Ligi Kuu ya Ujerumani (Bundesliga) baada ya kutwaa taji hilo kwa msimu wa pili mfululizo. Bayern wamebaki na taji...

TAKUKURU yafichua wizi wa Sh bilioni 147.5 kupitia kadi za benki

Na mwandishi wetu, Gazetini MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Crispin Chalamila, amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwapo kwa mtandao...

AGENDA yahimiza mapinduzi ya uhifadhi misitu Tanzania, uharibifu wazidi…

Na mwandishi wetu, Gazetini MACHI 21 kila mwaka, dunia huadhimisha Siku ya Misitu Duniani kwa lengo la kuhamasisha jamii kutambua mchango mkubwa wa misitu katika...

Recent articles