Ads: info@gazetini.co.tz |
26.2 C
Dar es Salaam

Featured

Madueke awaniwa Juventus, Atletico

LONDON, Uingereza WINGA wa Arsenal, Noni Madueke, anawindwa na klabu za Juventus na Atletico Madrid kuelekea dirisha dogo la usajili hapo Januari, 2027. Madueke aliyesajiliwa na...

Liverpool, City zamtolea macho Aramburu

LONDON, Uingereza BEKI wa Real Sociedad ya La Liga, Jon Aramburu, ameingia kwenye rada za klabu kubwa mbili za Ligi Kuu ya England , Liverpool...

Apongezwa kwa kulimwa kadi nyekundu

LONDON, Uingereza KATIKA dakika ya 89 ya mchezo wa Championship dhidi ya Millwall, kiungo wa West Ham United, Mohamadou Kante, alifanya aliwakosha mashabiki na wachezaji...

Wirtz kulamba mkataba mpya Anfield

MERSEYSIDE, Uingereza KLABU ya Liverpool iko mbioni kumpa mkataba mpya kiungo wake raia wa Ujerumani, Florian Wirtz, licha ya kusuasua kwa kiwango chake. Nyota huyo hajafunga...

Arsenal macho kwa staa Madrid

MADRID, Hispania WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wanamtolea macho mshambuliaji wa Real Madrid, Endrick, wakipanga kumfuata wakati wa usajili wa dirisha dogo la Januari, 2026. Endrick...

Huyu Raphinha ni moto wa kuotea mbali

CATALUNYA, Hispania MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Raphinha, amefunga 'hat-trick' yake ya pili katika michezo miwili mfululizo, safari hii akifnya hivyo dhidi ya Sevilla. Barcelona wakiwa ugenini kwenye...

Osimhen kuzikosa Madagascar, Guinea-Bissau

LAGOS, Nigeria TIMU ya soka ya Taifa ya Nigeria 'Super Eagles' itamkosa straika wake tishio, Victor Osimhen, katika mechi mbili zijazo za kufuzu fainali za...

Arteta apewa onyo kali

MANCHESTER, Uingereza MSHAMBULIAJI wa zamani wa Manchester City, Sergio Aguero, amempa onyo kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, akimtaka kuwa makini na mtindo wake wa kubadili...

Godbless Lema na kivuli cha ‘usaliti’ CHADEMA

Na Hassan Mwasha, Gazetini KWA nyakati na nyakati, jina la Gobless Lema limekuwa likiingia na kutoka katika shutuma za usaliti ndani ya Chama cha Demokrasia...

Zidane agoma Benzema kurudi kikosini

PARIS, Ufaransa KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa, Zinedine Zidane, amefunga mlango kwa straika mkongwe, Karim Benzema, kurejea kikosini, licha ya kukiri...

Kinda United agombewa Ulaya

MANCHESTER, Uingereza MSHAMBULIAJI chipukizi wa Manchester United, JJ Gabriel, ameingia kwenye rada za klabu kubwa nne barani Ulaya, ikiwamo Barcelona. Kwa mujibu wa kituo cha televisheni...

Tottenham majanga tupu

LONDON, Uingereza BAADA ya kufungwa mabao 3-2 na Aston Villa, Tottenham imefikisha mechi tano za msimu huu wa Ligi Kuu ya England bila kupata ushindi. Kwa...

Recent articles