NAIROBI, Kenya
BUNGE la Kenya limewashutumu wanajeshi wa Uingereza likiwataja kufanya vitendo vya udhalilishaji walipokuwa kwenye mafunzo nchini humo. Kwa miaka mingi, vikosi vya jeshi...
TUNIS, Tunisia
MWANASIASA maarufu wa upinzani nchini Tunisia, Ayachi Hammami, amekamatwa na polisi ili kwenda kutumikia kifungo cha miaka mitano gerezani.
Hammami ni miongoni mwa...
KUALA LUMPUR, Malaysia
IKIWA ni miaka 14 imepita tangu ilipopotea, Serikali ya Malaysia itaanza tena operesheni ya kuisaka ndege yake aina ya Boeing 777. Kwa...
SEOUL, Korea ya Kusini
WAENDESHA mashitaka wa Korea Kusini wameiomba Mahakama imuhukumu kifungo cha miaka 15 gerezani aliyekuwa mke wa Rais wa zamani, Yoon Suk...
ISLAMABAD, Pakistan
KWA sasa, familia ya Imran Khan inahofia kuwa huenda Waziri Mkuu huyo wa zamani wa Pakistan amefariki akiwa gerezani. Khan alikuwa Waziri Mkuu...
VICTORIA, Hong Kong
KIONGOZI wa Hong Kong, John Lee, ameunda Tume ya kuchunguza chanzo cha ajali ya moto iliyosababisha vifo vya watu takribani 151. Jumatano...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
SIMBA haijapata ushindi katika mechi mbili za hatua ya makundi msimu huu wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Kwa ufupi, iko...
MAPUTO, Msumbiji
UMOJA wa Mataifa (UN) umekiri kupata wasiwasi juu ya machafuko yanayoendelea Kaskazini mwa Msumbiji na kudai kuwa watu takribani 300,000 wamekimbia makazi yao....
LIMA, Peru
MGOMBEA urais katika Uchaguzi Mkuu wa Peru unaotarajiwa kufanyika Aprili, mwakani, Rafael Belaunde, amenusurika kuuawa katika shambulio la risasi. Belaunde alishambuliwa na watu...
WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez, ametoka gerezani kwa msamaha wa Rais wa Marekani, Donald Trump. Orlando Hernandez alikuwa akitumikia...
SOFIA, Bulgaria
MAANDAMANO makubwa yameibuka katika Jiji la Sofia, Bulgaria, ambapo maelfu ya wananchi wameingia barabarani wakishinikiza Serikali kujiuzulu. Taarifa za awali juu ya maandamano...
MOSCOW, Urusi
SERIKALI ya Urusi kupitia kwa Msemaji wake, Dmitry Peskov, imetangaza kile ilichokiita kuwa ni ushindi baada ya kuteka mji ulioko Mashariki wa Donetsk,...