Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Siasa

Njaa yaua binti wa miaka minne

JERUSALEM, IsraelHUKU vita ikiendelea, binti mwenye umri wa miaka minne, Razan Abu Zaher, amepoteza maisha kutokana na njaa kali inayowakumba wakazi wa Ukanda wa...

CCM yaja na mbinu mpya kudhibiti uzushi

Na Mwandishi Wetu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kutumia nembo maalumu (QR Code) ya utambuzi wa taarifa zake ili kuzuia  na kudhibiti uzushi na upotoshaji. Kupitia...

Urafiki wa wanasiasa, waganga wa kienyeji

KAMPALA, Uganda ACHANA na vurugu, wizi wa kura na hata 'figisu' zingine. Kwa miaka mingi, huenda taswira nyingine kubwa zaidi ya siasa za Afrika ni...

Syria, Israel kusitisha mapigano

JERUSALEM, IsraelMATAIFA ya Syria na Israel yamefikia makubaliano ya kusitisha vita, kwa mujibu wa Balozi wa Marekani nchini Uturuki, Tom Barrack.Kwa mujibu wa balozi...

Waasi waua sita, wateka 100 Nigeria

MAIDUGURI, NigeriaKATIKA tukio lililotokea jana, kundi la waasi limevamia na kuuua watu sita, huku likiondoka na wengine zaidi ya 100, wakiwamo watoto na wanawake.Taaria...

Serikali, M23 kumaliza vita DRC?

KINSHASA, DRCSERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) itakaa mezani na M23 kusaini mkataba wa kumaliza vita Kaskazini mwa nchi hiyo.Hatua hiyo ni...

Jeshi laifuta Tume cha Uchaguzi Burkina Faso

OUAGADOUGOU, Burkina FasoUTAWALA wa kijeshi nchini Burkina Faso umeifuta iliyokuwa Tume ya Uchaguzi kwa madai kuwa uwepo wake ni matumizi mabaya ya fedha za...

Simulizi ya kusikitisha maisha ya Gaza

LONDON, UingerezaACHANA na mashambulizi ya makombora yanayotupwa kila uchwao na Israel, raia wa Palestina walioko katika Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na shida nyingine kubwa...

Paul Biya na ‘ulevi’ wa madaraka Cameroon

YAOUNDE, CameroonHATUA ya Rais wa Cameroon, Paul Biya, kutangaza nia ya kugombea tena katika Uchaguzi Mkuu ujao imeonekana kuzua mjadala mkubwa katika siasa za...

Mwandishi jela miaka 14 kisa kuitetea Ukraine

MOSCOW, UrusiMAHAKAMA nchini Urusi imemuhukumu kifungo cha miaka 14 gerezani mwandishi wa vitabu,Boris Akunin, kwa kauli yake ya kuiunga mkono Ukraine.Pia, mbali ya kuiunga...

Al Shabaab wateka mji Somalia

MOGADISHU, SomaliaWANAMGAMBO wa Al Shabaab wameuteka na sasa wameweka makazi katika Mji wa Tardo mkoani Hiiran.Tardo ni Mji ulio katikati ya Somalia, hivyo unaipa...

Rais Biya ataka muhula wa nane Cameroon

YAOUNDE, CameroonRAIS wa Cameroon, Paul Biya, ametangaza nia ya kugombea tena katika Uchaguzi Mkuu ujao, licha ya kwamba ameshika nafasi hiyo kwa miaka 43.Biya...

Recent articles