Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Siasa

Kundi la kigaidi linaloitesa Afrika Magharibi

BAMAKO, MaliKWA miaka ya hivi karibuni, Ukanda wa Afrika Magharibi umekuwa ukiandamwa na mashambulizi ya kigaidi yanayotekelezwa na Kundi la Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin...

Urusi, China zazijadili Marekani, Ukraine

MOSCOW, UrusiMAWAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi na China wamezungumzia uwezekano wa kumaliza vita inayoendelea kati ya Taifa hilo la Ulaya na majirani...

Polepole ajiuzulu Ubalozi

Na Mwandishi Wetu Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubalozi na nafasi nyingine za uongozi wa Umma kuanzia...

Ruto atafaulu mtihani wa ‘Gen Z’?

NAIROBI, KenyaUPEPO unavuma vibaya kwa William Ruto, huku sehemu kubwa ya wakosoaji wake wakiwa ni vijana wa kizazi kipya, wakifahamika pia kwa jina la...

Kuna nini Trump na viongozi Afrika?

WASHINGTON DC, Marekani JUMATANO ya wiki hii, Rais wa Marekani, Donald Trump, alifungua Mkutano wa siku tatu na viongozi wa nchi tano za Afrika mjini...

ICC yainyooshea kidole Sudan

DUBAI, UAEMAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imelaani kinachoendelea mjini Darfur, Sudan, ikieleza kuwa kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.Tangu...

Ruto: Waandamanaji wapigwe risasi za miguu

NAIROBI, KenyaWAKATI maandamano ya raia wanaoipinga Serikali yakiendelea, Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza waandamanaji wapigwe risasi za miguu.Agizo hilo linakuja wakati huu jumuhiya...

Urusi yaishambulia Kyiv, yaua wawili

KYIV, UkraineWATU wawili wameripotiwa kufariki katika shambulizi la Urusi mjini Kyiv, Ukraine.Ndege isiyo na rubani iliishambulia Kyiv, ikielezwa pia watu 13 wamejeruhiwa katika tukio...

Marekani yambana mbavu mjumbe UN

NEW YORK, MarekaniSERIKALI ya Marekani chini ya Rais Donald Trump imemwekea vikazo mjumbe wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UN),...

Waziri ‘aliyetumbuliwa’ atajwa kujiua

MOSCOW, UrusiALIYEKUWA Waziri wa Uchukuzi wa Urusi, Roman Starovoit, amefariki, huku mwili wake ukikutwa na jeraha la risasi.Wakati huo huo, kile kilichoelezwa na Kamati...

Musk, Trump; nini hatima vita ya fedha, mamlaka?

NA HASSAN DAUDIHATUA ya bilionea wa teknolojia, Elon Musk, kuanzisha Chama cha siasa cha 'America Party' mwishoni mwa wiki hii kimekoleza uhusiano wake mbaya...

Trump akiri kushindwa vita Urusi-Ukraine

NEW YORK, MarekaniRAIS wa Marekani, Donald Trump, amekiri kuwa haoni kama atafanikiwa kuimaliza vita inayoendelea kati ya mataifa ya Ulaya Mashariki, Urusi na Ukraine.Hata...

Recent articles