Ads: info@gazetini.co.tz |
23.5 C
Dar es Salaam

Siasa

Urusi yaishambulia Kyiv, yaua wawili

KYIV, UkraineWATU wawili wameripotiwa kufariki katika shambulizi la Urusi mjini Kyiv, Ukraine.Ndege isiyo na rubani iliishambulia Kyiv, ikielezwa pia watu 13 wamejeruhiwa katika tukio...

Marekani yambana mbavu mjumbe UN

NEW YORK, MarekaniSERIKALI ya Marekani chini ya Rais Donald Trump imemwekea vikazo mjumbe wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UN),...

Waziri ‘aliyetumbuliwa’ atajwa kujiua

MOSCOW, UrusiALIYEKUWA Waziri wa Uchukuzi wa Urusi, Roman Starovoit, amefariki, huku mwili wake ukikutwa na jeraha la risasi.Wakati huo huo, kile kilichoelezwa na Kamati...

Musk, Trump; nini hatima vita ya fedha, mamlaka?

NA HASSAN DAUDIHATUA ya bilionea wa teknolojia, Elon Musk, kuanzisha Chama cha siasa cha 'America Party' mwishoni mwa wiki hii kimekoleza uhusiano wake mbaya...

Trump akiri kushindwa vita Urusi-Ukraine

NEW YORK, MarekaniRAIS wa Marekani, Donald Trump, amekiri kuwa haoni kama atafanikiwa kuimaliza vita inayoendelea kati ya mataifa ya Ulaya Mashariki, Urusi na Ukraine.Hata...

Watatu upinzani washikiliwa Uturuki

ANKARA, UturukiVIONGOZI watatu wa chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki wanashikiliwa na jeshi la polisi.Taarifa zaidi zinawataja waliokamatwa kuwa ni mameya wa majimbo ya...

Urusi yaiunga mkono Taliban

KYIV, UrusiURUSI limekuwa taifa la kwanza kutangaza kuitambua Serikali ya Taliban inayoiongoza Afghanistan.Haiishii hapo, bali pia Serikali ya Urusi kupitia kwa Wizara ya Mambo...

Majaliwa  aaga Ruangwa

Na Mwandishi Wetu Waziri mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa leo Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la...

Esther Bulaya: Nilikuwa Chadema kwa mkopo nimerejea, CCM ni kama  Barcelona 

Na Mwandishi Wetu Aliyekuwa Mbunge wa viti maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kada wa chama hicho, Esther Bulaya  amesema  alikuwa Chadema kwa mkopo...

Wasira: Uchaguzi Mkuu sio ajali

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwwnyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewaeleza wabunge na madiwani hususan waliokuwa wanajifungia vioo kwenye magari wajue...

Sheikh Ponda atangaza  rasmi kuwa mwanachama mpya ACT Wazalendo

Na Mwandishi Wetu Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, leo Alhamisi Juni 5, 2025, ametangaza kujiunga na Chama cha...

Dk.Samia atoa agizo kwa wanaochuja wagombea, asema Magwajima yaachwe nje

Na Mwandishi Wetu Mwenyewekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan,  amewataka wanaochuja wagombea wa uchaguzi...

Recent articles