Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Siasa

Joto halijapoa Rais kuongezewa muda Zimbabwe

HARARE, Zimbabwe RAIS wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ameendelea kutetea hatua ya Bunge kubadilisha Katiba na kumpa nyongeza ya kubaki madarakani hadi mwaka 2030. Wakati huo huo,...

Hii ndiyo Siku ya Nelson Mandela

Na mwandishi wetu, Gazetini JULAI 18 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya kumbukizi ya mchango mkubwa alioutoa Nelson Mandela katika ulimwengu wa siasa,...

Mnyukano unaoendelea kati ya Bunge, Rais Senegal

DAKAR, Senegal MAPEMA wiki hii, Bunge la Senegal lilipitisha mabadiliko ya Katiba yaliyozua utata, yakimuondoshea madaraka makubwa aliyonayo Rais. Hatua hiyo iliibua mgogoro mkubwa, hata polisi...

Urafiki uliogeuka uadui Trump, Waziri Mkuu wa Italia

WASHINGTON DC, Marekani UHUSIANO kati ya Rais wa Marekani, Donald Trump, na Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni, umeendelea kuwa gumzo na hata kuibua mjadala...

Israel, Marekani ‘zimechafua’ Uchaguzi Colombia?

BOGOTA, Colombia RAIS aliyeondoka madarakani nchini Colombia, Gustavo Petro, ameendelea kutokuyatambua matokeo yaliyompa ushindi Abelardo de la Espriella. De la Espriella (47), ameingia Ikulu akimpiku Ivan...

Huyu ndiye Waziri Mkuu mpya wa Uingereza?

LONDON, Uingereza BAADA ya Keir Starmer kujiuzulu siku chache zilizopita, majina kadhaa ndani ya Chama tawala cha Labour yameanza kuhusishwa na kiti cha Waziri Mkuu...

Kiti hakikaliki nafasi ya Waziri Mkuu Uingereza

LONDON, Uingereza WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ameachia ngazi ikiwa ni miaka isiyotimia miwili tangu alipoingia madarakani kupitia Chama cha Labour. Hatua hiyo imekuja baada...

Yametimia! Waziri Mkuu Uingereza abwaga manyanga

LONDON, Uingereza BAADA ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kujiuzulu. Kwa wiki kadhaa za hivi karibuni, Starmer amekuwa kwenye...

Iran yafunga tena Hormuz, yaitaja Israel

TEHRAN, Iran MAMLAKA za Iran zimetangaza hatua yake ya kuufunga kwa mara nyingine Mlango-Bahari wa Hormuz, huku ikilaani mashambulizi ya Israel nchini Lebabon. Hatua hiyo ya...

Miezi mitatu baada ya kifo, Khamenei kuzikwa Julai

TEHRAN, Iran MAMLAKA za Iran zimetangaza kuwa kiongozi wake Mkuu aliyeuawa Februari, 2026, Ali Khamenei, atazikwa mwezi ujao, Julai 9, mjini Mashhad. Awali, Ali Khamenei alitarajiwa...

Netanyahu kurejea au kung’oka madarakani Oktoba?

JERUSALEM, Israel WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, atawania tena nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu ujao, Chama chake cha Likud kimeeleza. Kwamba mwanasiasa huyo mwenye umri...

Siasa za Afrika na kitendawili cha demokrasia

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA miaka ya hivi karibuni, baada ya kufuatilia chaguzi za Afrika, wachambuzi wa siasa wameibua kile wanachokiita mdororo wa afya ya...

Recent articles