MICHIGAN, MarekaniMTU asiyefahamika amechoma moto kanisa na kusababisha vifo vya watu wanne waliokuwa ndani wakati wa ibada ya Jumapili ya wiki iliyopita.Hata hivyo, Thomas...
KABUL, AfghanistanHATIMAYE Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imetangaza kumwachia huru raia wa Marekani aliyekuwa ameshikiliwa kwa miezi tisa.Januari, mwaka huu, raia wawili wa Marekani...
Na mwandishi wetu, GazetiniHIVI karibuni, Mahakama ya Uhalifu ya Paris, Ufaransa, ilimuhukumu kifungo cha miaka mitano gerezani aliyewahi kuwa Rais wa nchi hiyo, Nicolas...
Na mwandishi wetu, GazetiniTUJIKUMBUSHE; Septemba 14, mwaka huu, Gazeti la Washington Post liliutangazia ulimwengu juu ya mazungumzo kati ya Marekani na Serikali inayoongozwa kijeshi...
Na mwandishi wetu, GazetiniPETER Mutharika, licha ya umri wake mkubwa wa miaka 85 na wakati mwingine afya yake ikizua mijadala, amerejea katika siasa za...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
BAKTERIA wa kinywani wanaoweza kuondoshwa kwa kupiga mswaki husababisha saratani ya kongosho, kwa mujibu wa utafiti mpya nchini Marekani. Kwa miaka...
BUENOS AIRES, ArgentinaMAELFU ya raia wa Argentina wameingia mitaani kulaani mauaji ya wasichana watatu.Katika video iliyozua taharuki baada ya kupostiwa mitandaoni, wasichana hao wanaonekana...
MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema tetesi za kufungashiwa virago klabuni hapo hazimuumizi kichwa kwa sasa.Amorim amekuja na kauli hiyo baada ya...
NAIROBI, KenyaPOLISI nchini Kenya wamewaokoa vijana wake zaidi ya 20 waliokuwa wakipelekwa Urusi kwa ajili ya kusafirishwa hadi Ukraine.Taarifa ya polisi inasema vijana hao...
MUMBAI, IndiaWATU 39 wamepoteza maisha na wengine 51 kujeruhiwa katika tukio la kukanyagana lililotokea wakati wa mkutano wa siasa Kusini mwa India.Kwa mujibu wa...
Na mwandishi wetu, GazetiniUTAFITI nchini Canada umebaini kuwa wanawake wanaojihusisha na utumizi wa dawa za kulevya aina ya bangi wako hatarini kupata tatizo la...
LAGOS, NigeriaSUPASTAA wa muziki wa Afrobeats, Burna Boy, 'amewapotezea' Cristiano Ronaldo na Lionel Messi na kumtaja Jay Jay Okocha kuwa ndiye mwanasoka bora wa...