Ads: info@gazetini.co.tz |
22.7 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Dj auawa kwa kupigwa risasi

JOHANNESBURG, Afrika Kusini DJ maarufu wa Afrika Kusini, Warrick Stock, akifahamika zaidi kwa jina 'DJ Warras', ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Johannesburg. Polisi wamesema Dj Warras...

Takwimu zinazomkaba kocha Spurs

LONDON, Uingereza MATOKEO ya kufungwa mabao 3-0 na Nottingham Forest katika mchezo uliopita yameifanya Tottenham kushika nafasi ya 11 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya...

Ban Ki-moon: Ni wakati wa mageuzi UN kutatua migogoro ya Dunia

NEW YORK, Marekani TASWIRA iliyojitokeza jijini New York, ndani ya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, inakumbusha nyakati ambazo hazijapita sana, lakini ambazo sasa zinajionyesha...

Trump aomba mwanaharakati aachiwe

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amemtaka mwenzake wa China, Xi Jinping, kumwachia huru mwanaharakati wa demokrasia mjini Hong Kong, Jimmy Lai. Lai, ambaye...

Jimmy Lai; Mwanaharakati, bilionea anayesubiri kifungo cha maisha

BEIJING, China MWANAHARAKATI wa demokrasia wa Hong Kong, Jimmy Lai, atahukumiwa kifungo cha maisha gerezani endapo atakutwa na hatia katika mashitaka yanayomkabili. Lai (78), anashutumiwa kwa...

Miji inayoongoza kwa mishahara minono duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini UTAFITI wa Deutsche Bank umefuatilia maisha ya miji 69 duniani na kubaini tofauti iliyopo katika mishahara wanayolipwa wafanyakazi kila mwezi. Aidha,...

Dhana potofu juu ya saratani ya mapafu

Na mwandishi wetu, Gazetini SARATANI ya mapafu ni miongoni mwa magonjwa tishio ulimwenguni, ukitajwa kusababisha vifo zaidi ya milioni 1.8 kwa mwaka. Takwimu hizo ni za...

Wanajeshi sita wa UN wauawa Sudan

DARFUR, Sudan UMOJA wa Mataifa (UN) umethibitisha kuuawa kwa wanajeshi wake sita wanaolinda amani nchini Sudan wakati huu wa machafuko. Kwa mujibu wa taarifa ya UN...

UNICEF: Kipindupindu kimeua watoto 340 DRC

KINSHASA, DRC SHIRIKA la Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limeeleza kuwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inapitia kipindi kigumu zaidi kuwahi kutokea kutokana...

Belarus yaachia wafungwa 123

MINSK, Belarus SERIKALI ya Belarus imetangaza kuwaachia huru wafungwa 123, akiwamo wanasiasa wa upinzani, ikiwa ni katika kutekeleza maagizo ya Marekani. Marekani iliiwekea vikwazo vya kiuchumi...

Urusi yakata umeme Ukraine

KYIV, Ukraine WAKAZI zaidi ya milioni moja wanakosa huduma ya umeme nchini Ukraine na hiyo imesababishwa na mashambulizi makali ya Urusi kwa majirani zao hao. Urusi...

Avunja rekodi ya kukumbatia mti kwa siku tatu

NAIROBI, Kenya MWANAHARAKATI wa mazingira nchini Kenya, Truphena Muthoni, amevunja rekodi yake ya kukumbatia mti, safari hii akitumia siku tatu (saa 72) mfululizo. Muthoni amefanya hivyo...

Recent articles