LOS ANGELES, MarekaniRAPA mwenye jina kubwa, P. Diddy, ameanza kuhudhuria darasa maalumu akiwa anaendelea kusota gerezani kwa tuhuma za udhalilishaji wa kingono.Ripoti zinaeleza kuwa...
GONTHENBURG, SwedenWANAUME watatu wamehukumiwa kifungo cha muda mrefu gerezani baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya kumuua kwa kumpiga risasi mwanamuziki wa Hip...
RIYADH, Saudi ArabiaKLABU ya Al Nassr ya Ligi Kuu ya Saudi Arabia imemtangaza Jorge Jesus kuwa kocha wake mkuu.Ni miezi isiyozidi mitatu tangu Mreno...
MUSCAT, OmanALIYEWAHI kuwa kocha msaidizi wa Manchester United wakati ule wa Alex Ferguson, Carlos Queiroz, ametangazwa kuwa mkuu wa benchi la ufundi la timu...
CATALUNYA, HispaniaSTAA wa Barcelona, Lamine Yamal, anachunguzwa kwa kile alichokifanya wakati wa sherehe ya 'birthday' yake ya kutimia umri wa miaka 18.Katika sherehe hiyo...
MERSEYSIDE, EnglandLIVERPOOL inaangalia uwezekano wa kufungua pochi na kumsajili mpachikaji mabao wa Newcastle United, Alexander Isak.Inaelezwa kuwa Liverpool wamepanga kumfanya Isak kuwa mchezaji wa...
LONDON, UingerezaACHANA na mashambulizi ya makombora yanayotupwa kila uchwao na Israel, raia wa Palestina walioko katika Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na shida nyingine kubwa...
LONDON, EnglandBAADA ya kutwaa mataji ya Conference League, Chelsea walihitimisha furaha yao wikiendi iliyopita kwa kuifunga PSG mabao 3-0 na kubeba ubingwa wa Kombe...
YAOUNDE, CameroonHATUA ya Rais wa Cameroon, Paul Biya, kutangaza nia ya kugombea tena katika Uchaguzi Mkuu ujao imeonekana kuzua mjadala mkubwa katika siasa za...
ALGER, AlgeriaKOCHA mwenye jina kubwa Afrka, Rulani Mokwena, amejiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya Algeria, Mouloudia Alger.Kwa wiki kadhaa za hivi karibuni, Mokwena...
MOSCOW, UrusiMAHAKAMA nchini Urusi imemuhukumu kifungo cha miaka 14 gerezani mwandishi wa vitabu,Boris Akunin, kwa kauli yake ya kuiunga mkono Ukraine.Pia, mbali ya kuiunga...
MOGADISHU, SomaliaWANAMGAMBO wa Al Shabaab wameuteka na sasa wameweka makazi katika Mji wa Tardo mkoani Hiiran.Tardo ni Mji ulio katikati ya Somalia, hivyo unaipa...