6.4 C
New York

Watatu jela kifo cha rapa

Published:

GONTHENBURG, Sweden
WANAUME watatu wamehukumiwa kifungo cha muda mrefu gerezani baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya kumuua kwa kumpiga risasi mwanamuziki wa Hip hop, C Gambino.
Tukio hilo la mwaka jana lilitokea mjini Gothenburg, mwezi mmoja tu baada ya rapa huyo kunyakua tuzo ya Grammy ya Sweden.
Silaha iliyotumika katika tukio hilo haikuweza kupatikana, ingawa gari walilotumia wahalifu hao lilikutwa likiwa limechomwa moto.
Wahalifu watatu hao, wote walibainika kusuka mpango, huku wawili wakihusika moja kwa moja kumshanbulia kwa risasi staa huyo.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img