Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Tolisso aingia rada za Man United

MANCHESTER, EnglandMABOSI wa klabu ya Manchester United wameanza mazungumzo ya kumsajili kiungo wa Lyon na timu ya taifa ya Ufaransa, Corentin Tolisso.Matheus Cunha kutoka...

Xhaka kumfuata Lacazette, mshahara bil. 30/-

RIYADH, SaudiaKIUNGO wa zamani wa Arsenal, Granit Xhaka, amekubali kujiunga na Neom SC ya Saudia akitokea Bayer Leverkusen.Neom SC ambayo ni timu iliyopanda daraja...

Rais Biya ataka muhula wa nane Cameroon

YAOUNDE, CameroonRAIS wa Cameroon, Paul Biya, ametangaza nia ya kugombea tena katika Uchaguzi Mkuu ujao, licha ya kwamba ameshika nafasi hiyo kwa miaka 43.Biya...

Modric atua rasmi AC Milan

MILAN, ItaliaNI rasmi sasa kiungo wa kimataifa wa Croatia, Luka Modric, ni mali ya vigogo wa Serie A, AC Milan.Modric mwenye umri wa miaka...

Chelsea, Liver zaongoza wa matanuzi sokoni

LONDON, EnglandZIKIWA zimebaki siku 50 kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili, klabu za Chelsea na Liverpool ndizo zilizotumia fedha nyingi sokoni.Chelsea imeshatumia Pauni...

Kundi la kigaidi linaloitesa Afrika Magharibi

BAMAKO, MaliKWA miaka ya hivi karibuni, Ukanda wa Afrika Magharibi umekuwa ukiandamwa na mashambulizi ya kigaidi yanayotekelezwa na Kundi la Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin...

Urusi, China zazijadili Marekani, Ukraine

MOSCOW, UrusiMAWAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi na China wamezungumzia uwezekano wa kumaliza vita inayoendelea kati ya Taifa hilo la Ulaya na majirani...

Obi: Bila kipa mpya Chelsea ‘haitoboi’

LONDON, EnglandKIUNGO wa zamani wa Chelsea, John Obi Mikel, ameitaka klabu hiyo kusajili mlinda mlango mpya kama inataka kutwaa mataji msimu ujao.Chelsea imetanua kikosi...

Arsenal wamponza straika Ureno

LISBON, UrenoKITENDO cha Viktor Gyokeres kushindwa kuungana na wenzake mazoezini akishinikiza kujiunga na Arsenal, kimewatibua mabosi wa klabu yake ya Sporting Lisbon.Taarifa zinaeleza kuwa...

Messi gari limewaka huko Marekani

MIAMI, MarekaniMSHAMBULIAJI wa Inter Miami, Lionel Messi, ameendeleza makali yake ya kufunga mabao mawili katika kila mchezo, safari hii akiwatungua Nashville.Messi anakuwa mchezaji wa...

Ruto atafaulu mtihani wa ‘Gen Z’?

NAIROBI, KenyaUPEPO unavuma vibaya kwa William Ruto, huku sehemu kubwa ya wakosoaji wake wakiwa ni vijana wa kizazi kipya, wakifahamika pia kwa jina la...

Utafiti: Ugumu wa maisha chanzo utoaji mimba Uingereza

LONDON, EnglandMATUKIO ya utoaji wa mimba yameripotiwa kuongezeka kwa kasi nchini Uingereza, huku kupanda kwa gharama za maisha kukitajwa kuwa moja ya sababu.Utoaji wa...

Recent articles