MOGADISHU, Somalia
MAHARAMIA wanaoteka meli nchini Somalia wameripotiwa kunufaika na mgogoro unaoendelea Mashariki ya Kati ukizihusisha Marekani na Israel kwa upande mmoja na na Iran...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA kila watu wanne nchini Afghanistan, watatu hawamudu mahitaji ya msingi, ambayo ni chakula, mavazi na makazi, kwa mujibu wa ripoti...
LONDON, Uingereza
WAKATI kocha wa timu ya soka ya Taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, alipotangaza kikosi kitakachokwenda kwenye fainali za Kombe la Dunia za mwaka...
LONDON, Uingereza
MATESO yamekwisha. Baada ya miaka 22 ya kusubiri, Arsenal imetwaa taji la Ligi Kuu ya England (EPL). Taji hilo limetua Emirates baada ya...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MC Alger kutwaa taji la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika wikiendi iliyopita, ambapo iliifunga Zamalek kwa penalti 8-7, ni stori...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jumatatu, Mei 18, 2026 limepitisha Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa Mwaka...
NEW YORK, Marekani
NI kwa mujibu wa Mpango wa Ukimwi wa Umoja wa Mataifa (UNAIDS), ikielezwa kuwa vita dhidi ya Ukimwi imepungua duniani kutokana na...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SHIRIKA la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limetangaza hali ya dharura inayohitaji uangalizi wa kimataifa baada ya mlipuko wa ugonjwa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MJADALA mkubwa kwa sasa katika soka la Tanzania, hasa Ligi Kuu Bara, ni kiwango bora alichonacho kiungo wa kimataifa wa Zambia,...
Na Hassan Mwasha,Gazetini
KWA mashabiki wa soka wa Tanzania, macho na masikio yao yameelekezwa katika vita mbili kubwa. Ubingwa wa Ligi Kuu Bara na ile...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KATIKA moja ya nukuu zake maarufu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kutaja maradhi kuwa ni moja ya maadui watatu wa Taifa...