LONDON, Uingereza
USAJILI dirisha dogo wa Januari, 2026, umefungwa kwa klabu za Ligi Kuu ya England (EPL). Je, klabu yako imefanya sokoni?
Arsenal
Walioingia: Hakuna
Waliotoka: Harrison Dudziak...
JERUSALEM, Palestina
WANAJESHI wa Israel wameua jumla ya raia wa Palestina wanaotajwa kufikia 32 katika mashambulizi yao ya wiki chache za hivi karibuni.
Taarifa hiyo imeelezwa...
LONDON, Uingereza
USHINDI wa mabao 4-0 dhidi ya Leeds United umeifanya Arsenal kuifikia rekodi iliyodumu kwa miaka 26 katika michuano ya Ligi Kuu ya England...
Na mwandishi Wetu, Gazetini
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaendelea kuchukua hatua madhubuti katika kuimarisha sekta ya madini kama nguzo muhimu ya ukuaji...
MERSEYSIDE, England
NI pigo kwa Jack Grealish, ambapo mshambuliaji huyo wa Everton atalazimika kuwa nje ya uwanja kwa kipindi chote cha msimu huu.
Grealish anayecheza kwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA kuhakikisha kuwa Tanzania inaendelea kujiimarisha kama kitovu cha uwekezaji wa kimkakati barani Afrika, Serikali kupitia Wizara ya Madini imekaribisha kampuni...
JAKARTA, Indonesia
WATU wawili wa jinsia tofauti wamecharazwa jumla ya viboko 140 kwa makosa makubwa mawili ya uzinzi na ulevi wa pombe.
Ifahamike kuwa vitendo hivyo...
CAIRO, Misri
KLABU ya Al Ahly imemtoza faini kiungo wake raia wa Misri, Emam Ashour, kwa kitendo chake cha kushindwa kusafiri na kikosi kitakachoivaa Yanga.
Timu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
'BANANA', kama inavyotamkwa kwa Kiingereza, ni neno lenye maana ya 'ndizi' kwa tafsiri ya lugha ya Kiswahili.
Katika duru za kisiasa, 'Banana...
Na mwandishi wetu, Gazetini
ZANZIBAR imeshuhudia ongezeko kubwa na la kihistoria la watalii wa kimataifa katika kipindi cha miaka sita iliyopita, mafanikio yanayohusishwa moja kwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KWA zaidi ya miongo miwili sasa, kampuni ya PMM Estates (2001) Limited imeendelea kujijengea heshima kama moja ya taasisi muhimu katika...