Ads: info@gazetini.co.tz |
28.3 C
Dar es Salaam

Featured

Utafiti: Ugumu wa maisha huathiri ubongo

Na mwandishi wetu, Gazetini NI utafiti uliofanywa na wanasayansi nchini Uingereza, ukibaini kuwa changamoto za kiuchumi zina athari kubwa katika afya ya ubongo. Utafiti huo umefanywa...

Harmonize, Kajala wanaelea anga za Cardi B, Offset

Na Hassan Mwasha MIONGONI wa strori zinazoshika nafasi kubwa mitandaoni ni hii ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali 'Harmonize', kuachana na bibiye wa...

Shatta Wale afunguka ugomvi wake na Burna Boy

ACCRA, Ghana STAAA wa muziki nchini Ghana, Shatta Wale, ameeleza kilichosababisha uhusiano wake mbaya na mkali wa Afrobeats, Burna Boy. Wawili hao waliwahi kuwa washikaji wakubwa,...

Alonso afunga mjadala kuhusu Welbeck

LONDON, Uingereza KOCHA wa Chelsea, Xabi Alonso, amezipotezea taarifa zinazoihusisha klabu hiyo na usajili wa straika wa zamani wa Arsenal, Danny Welbeck. Wakati huo huo, Mhispania...

Chicharito atua Daraja la Kwanza

DALAS, Marekani UNAMKUMBUKA straika wa zamani wa Real Madrid, Manchester United na timu ya soka ya Taifa ya Mexico, Javier Hernandez ‘Chicharito’? Mwamba bado anakipiga. Akiwa...

Megawati 2,115 za Bwawa la Nyerere mbioni, Tanesco yatoa ratiba

Na Faraja Mulungu, Gazetini SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza kuwa ujenzi wa njia mpya ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze...

Arsenal, Vinicius Jr dili lao liko hivi

LONDON, Uingereza WAKATI huu Real Madrid ikijaribu kumshawishi Vinicius JR kusaini mkataba mpya, Arsenal wanaangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Brazil. Huu ni...

YouTube inavyolibeba soko la tamthilia Bongo

Na Hassan Mwasha KAMA ni mfuatiliaji wa tamthilia za Tanzania zinazorushwa kupitia vituo vya televisheni pekee, basi ni wazi unapitwa na mengi. Jiongeze! Kwa sasa, mtandao...

Mwamba wa ‘unga’ aliyeisumbua Marekani kwa miaka 40

LOS ANGELES, Marekani ANAITWA El Mayo. Ndilo jina maarufu zaidi kuliko Ismael Zambada alilopewa na wazazi wake, akiwa pia ndiye muasisi wa genge hatari la...

Mashabiki Yanga, Simba wamejiandaa na VAR?

Na Hassan Mwasha MSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara utaanzia Agosti 14, 2026. Ni msimu wa 2026-27, ambao utakuja na sura mpya kabisa katika historia...

Mlima wa Iran unaoipasua kichwa Marekani

TEHRAN, Iran UNAITWA Mlima Pickaxe. Unapatikana Kusini mwa Iran katika Jimbo la Isfahan, umbali wa maili 1.24 kutoka kilipo kinu cha nyuklia cha Natanz. Ulinzi...

New Bell: Gereza lenye lebo ya muziki kwa ajili ya wafungwa

YOUNDE, Cameroon NEW Bell ni moja ya magereza makubwa na maarufu si tu Younde na miji mingine jirani, bali Cameroon kwa ujumla. Wakati fulani, Shirika...

Recent articles