LONDON, Uingereza
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, amewaahidi makubwa mashabiki wa timu hiyo, akisema watarajie tena ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL).
Arsenal walimaliza msimu...
LAGOS, Nigeria
SUPASTAA wa Afrobeats, Burna Boy, amemtaja Jay Jay Okocha kuwa ndiye mchezaji wake bora, akiwatupa kando Cristiano Ronaldo na Lionel Messi.
Katika mahojiano yake...
MADRID, Hispania
BAADA ya miezi mingi ya tetesi, ni rasmi sasa Yan Diomande amejiunga na Real Madrid akitokea RB Leipzig ya Ligi Kuu nchini Ujerumani...
LOS ANGELES, Marekani
BILIONEA anayemiliki mtandao wa kijamii wa Telegram, Pavel Durov, anakabiliwa na shutuma kutoka katika mataifa mawili ya Urusi na Ufaransa.
Katika taarifa yake...
RIYADH, Saudi Arabia
SAUDI Arabia imebaki njiapanda. Tangu Marekani na Israel zilipoungana kuishambulia Iran, Saudia ilijiweka mbali na mgogoro huo. Haikutaka kujihusisha wala kuhusishwa.
Hata hivyo,...
LONDON, Uingereza
KAMA ilivyo kawaida, katika kila msimu mpya wa Ligi Kuu ya England (EPL), huwa kuna timu tatu zilizopanda daraja. Safari hii (2026-27), ni...
LONDON, Uingereza
MSIMU mpya wa Ligi Kuu ya England (EPL) utaanza Agosti 21, 2026, ukitarajiwa kumalizika Mei 30, 2027. Ni msimu wa 35 tangu michuano...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameibuka mshindi tena dhidi ya Jamhuri katika hatua nyingine ya kesi...
TEHRAN, Iran
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limetangaza kuwa Mlango Bahari wa Hormuz hautafunguliwa kikamilifu ikiwa vitisho vya kijeshi na...
KAMPALA, Uganda
KIONGOZI mkongwe wa upinzani nchini Uganda, Dk. Kizza Besigye, amelazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) mjini Kampala baada ya kuanguka na kupoteza...