Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Jeshi la Magereza nchini limepongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa kuhamasisha, kuwezesha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa taasisi...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Medali ya 'Mother of the Nation Order' kutoka kwa Rais...
Na Ramadhan Hassan,Dodoma
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kusimamia kikamilifu utekelezaji wa miradi yake yote ili iweze kuakisi viwango bora, uendelevu...
Na Ramadhan Hassan,Dodoma
Wizara ya Ujenzi imetaja vipaombele 10 vya mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2025-2026 ikiwemo kuendelea na ujenzi wa barabara za...
Na Ramadhan Hassan,Dodoma
Serikali imepanga kufunga mfumo wa kielektroniki ambao unawezesha magari kupimwa kwenye mizani bila usaidizi wa mtu (operator)
Hayo yameelezwa leo bungeni Machi 5,2025...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema hauko yatari kupeleka shauri kwenye Kamati za Mamlaka za soka ndani kama iliyoelekezwa na Mahakama...
Na Jackline Jerome, Gazetini
Tanzania inaongoza barani Afrika na duniani kwa ujumla kwa kuwa na idadi kubwa ya simba, ikiwa na jumla ya takribani simba...
By Our Correspondent
The International Women's Peace Group (IWPG), Global Region 2, under the leadership of Regional Director Seo Yeon Lee, successfully held an international...
Na Mwandishi Wetu
Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) imetenga fedha kiasi cha Sh 23.18 bilioni kwa ajili ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Serikali imesema kuwa ipo tayari kushirikiana na waandaaji wa Tuzo za Muziki wa Injili Afrika Mashariki 'East Africa Gospel Awards',(EAGMA) ili...