Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Featured

Serengeti ni Tunu ya Taifa na Urithi wa Dunia itunzeni

Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, amewataka wananchi kushirikiana kwa karibu na wahifadhi katika kulinda, kutunza na kuhifadhi maeneo...

Bonanza la JWTZ la basketball, handball lafana Morogoro

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kupitia timu teule za mpira wa kikapu na mpira wa mikono limejivunia mafanikio ya...

Robert Prevost atangazwa Papa mpya

Na Mwandishi Wetu Papa mpya wa Kanisa Katoliki Duniani, ametangazwa ni Kardinali Robert Francis Prevost(69), raia wa Marekani na amechagua jina la Papa Leo XIV. Amechaguliwa...

Waziri Masauni, Umoja wa Ulaya wajadili Mazingira

Mwandishi Maalum-Denmark Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni ameelezea mkakati wa Tanzania katika utekelezaji wa programu za...

Mnyama anawacheki tu hapo kileleni, bado pointi 4

Na Mwandishi Wetu Simba imeibuka na ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa leo Mei 8,2025...

Serikali yasamehe wadaiwa faini za maji, yataka wananchi warejeshewe huduma

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametangaza msamaha wa faini zote kwa wananchi waliokuwa wakidaiwa na Mamlaka za Maji nchini, hatua inayolenga kuwapunguzia...

Spika wa Bunge amhakikishia ushirikiano Dk. Mwapinga

Na Mwandishi Wetu Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amemhakikishia ushirikiano Katibu Mkuu wa Jukwaa...

TATA Tanzania yaja na suluhisho sekta ya usafirishaji mizigo, abiria

Na Winfrida Mtoi, Gazetini Kampuni ya magari ya TATA Tanzania imezindua mpango maalum kwa ajili ya sekta ya usafirishaji wa mizigo mikubwa nchini kwa kuzindua...

DCP Mambosasa afungua mafunzo ya medani za kivita

Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Dk. Lazaro Mambosasa amefungua mafunzo ya medani...

Rais atangaza kifo cha Cleopa Msuya

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan  ametangaza kifo cha aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa  Rais na...

Salum Mwalimu, wanachama wengine watangaza kujitoa Chadema, wasema wao sio chawa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu  wa Chadema  Zanzibar, Salum Mwalimu na wanachama wengine wa chama hicho wametangaza kujitoa  katika chama hicho  kwa...

Viongozi Afrika Mashariki wakutana Arusha kujadili Nishati Safi ya Kupikia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Wadau mbalimbali kutoka Nchi za Afrika Mashariki wamekutana jijini Arusha katika kongamano la kwanza nishati safi ya kupikia la Afrika Mashariki...

Recent articles