Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Featured

Mauzo asali ya Tanzania yapaa nje ya nchi, yangiza mabilioni

Na Mwandishi wetu Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Pindi Chana amesema asali ya Tanzania imeuzwa nje ya nchi kwa kiwango kikubwa kwa thamani ya ...

Serikali yaweka mikakati kudhibiti magugumaji Ziwa Victoria

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweka mikakati  ya kuhakikisha changamoto ya uwepo wa magugumaji katika ziwa Victoria inapatiwa ufumbuzi ili kuwezesha...

Profesa Janabi ashinda Mkurungenzi WHO Kanda ya Afrika

Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Mshauri wa Rais Samia Suluhu Hassan  katika masuala ya afya, Profesa Mohammed Janabi, ameshinda...

Rais wa Finland atembelea Machinga Complex

Na Mwandishi Wetu Rais wa Finland, Alexander Stubb leo Mei 16, 2025 akiwa katika muendelezo wa ziara yake hapa nchini ametembelea Soko la Machinga Complex...

Mfalme Zumaridi akamatwa na Polisi Mwanza

Na Mwandishi Wetu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limesema linamshikilia na kumhoji Diana Bundala maarufu Mfalme Zumaridi kwa tuhuma za kuyageuza makazi yake kuwa...

Dk. Jafo ataka TBS kutoa elimu madhara ya unywaji pombe kupita kiasi

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, amelitaka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kushirikiana na taasisi nyingine kutoa elimu kwa...

Bunge lapitisha  Sh 2.746 Trilioni  bajeti ya Wizara ya Uchukuzi

Na Mwandishi Wetu Bunge la Tanzania limeidhinisha Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yenye jumla ya Sh 2.746 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake...

Dk. Biteko afanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Morocco

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ametembelea Bunge la Morocco ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi...

Rais Mwinyi: Tutamuenzi Charles Hilary kwa utendaji wake

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewaongoza viongozi mbalimbali na mamia ya Wananchi katika maziko...

Rais wa Finland ziarani nchini, Rais Samia ampokea

Na Mwandishi Wetu Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, amewasili nchini na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan, kisha kukagua  gwaride la...

Tanzania, Ivory Coast zajadiliana fursa za kilimo

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia,...

Msajili Hazina: Ni wakati wa Tanzania kunadi fursa za uwekezaji kimataifa

Na Mwandishi Wetu,Ivory Coast KATIKA jukwaa kubwa la viongozi wa taasisi za kibiashara barani Afrika, maarufu kama Africa CEO Forum, Tanzania imeendelea kujidhihirisha kama taifa...

Recent articles