Na Ramadhan Hassan, Gazetini- Dodoma
Mbunge wa Singida Mjini, Musa Sima (CCM), ameishauri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuzingatia maeneo matano muhimu ya kipaumbele...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini- Dodoma
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Sh Trilioni 2.44 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa ajili...
Na Mwandishi wetu, Mwanza
Timu nane zilizofuzu hatua ya robo fainali (Super 8) itakayochezwa kwa mtindo wa mzunguko zinatarajia kuamua bingwa wa michuano ya Ligi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Cleopa Msuya...
Na Mwandishi Wetu
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limemkamata Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Aman Golugwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katibu Mkuu wa Chama cha Soka Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA),Ramadhan Missiru amefungiwa na Kamati ya Maadili ya Soka Tanzania...
Na Mwandishi Wetu
Baada ya kutoka ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), msanii wa Bongo Fleva, Ibrahim Abdallah 'Ibraah', amesema ishu yake Konde...
Na Mwandishi Wetu
Shirikisho wa Soka Tanzania(TFF),limesema kuanzia msimu ujao wa 2025/2026 litakuwa na mshirika wa michezo ya kubashiri(kubeti) katika mashindano yake yote.
Kwa mujibu wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi(INEC) imeanzisha majimbo mapya nane ya uchaguzi na kubadilisha majina ya majimbo 12 ambapo Mkoa wa...
Na Mwandishi Wetu
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hillary, amefariki dunia...