Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Kikosi cha Simba kimewasili Dar es Salaam kikitokea Zanzibar kwenye mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi RS Berkane...
*Yasema unatishia uhai wa binadamu na bahari
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mei 23, ni Siku ya Kimataifa ya Kasa wa Baharini, Chama cha Waandishi wa Habari...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) kwa kushirikiana na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) nchini Tanzania wamekutana...
Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) imesema inaweka mkazo kwenye ushirikiano na sekta binafsi katika kufufua viwanda vya...
Na Malima Lubasha,Gazetini-Serengeti
Wakazi wa Kata ya Nagusi, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, wameelezea hofu na wasiwasi mkubwa kutokana na ongezeko la matukio ya uvamizi...
In a powerful demonstration of global unity and commitment to peace, the International Women’s Peace Group (IWPG) held a series of commemorative events marking...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Namibia zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, hususan...
Na Malima Lubasha, Gazetini– Serengeti
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mapinduzi iliyoko wilayani Serengeti, mkoa wa Mara, Jumanne Nyamhanga, amewataka wazazi na walezi kushirikiana...
Na Mwandishi Wetu
Msanii Harmonize leo Mei 19,2025 amefika Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Basata, Dk. Kedmon Mapana, kuhusu maendeleo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Staa wa Bongo Fleva kutoka Bunduki Music, Dj Davizo, amewashtua mashabiki punde baada ya kuachia wimbo wenye vionjo vya gospo, Prayer.
Davizo,...
Na Mwandishi Wetu
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Dk. Netumbo Nandi-Ndaitwah anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili itakayoanza kesho Mei...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro limemkamata Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Daines Faustine (33) kwa tuhuma za kukutwa...