Na Mwandishi Wetu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa maendeleo katika sekta ya elimu ni mkombozi na mafanikio ya Taifa lolote duniani.
Amesema kwa kutambua hilo,...
Na Mwandishi Wetu
Klabu ya Dodoma Jiji yamtangaza kocha Vincent Mashami kutoka Polisi FC ya Rwanda akichukua nafasi ya Mecky Maxime aliyeondoka mwishoni msimu uliomalizika.
Kwa mujibu...
Na Mwandishi Wetu
Msanii Nurdin Bilal maarufu Shetta, ameshinda kwenye kura za maoni ya kugombea udiwani Kata ya Mchikichini, Ilala, Dar es Salaam kupitia CCM.
Katika...
Na Mwandishi Wetu
Mgombea wa udiwani Kata ya Kunduchi, jijini Dar es Salaam anayetetea nafasi yake Michael Urio ameibuka kinara katika kura za maoni kwa...
Na Mwandishi Wetu
Msanii wa Bongofleva, Abdulaziz Abubakar ' Dogo Janja', ameongoza katika kura za maoni ya udiwani katika Kata Ngarenaro, mkoani Arusha kupitia Chama...
LONDON, Uingereza
KUTEMBEA haraka, walau kwa dakika 15 tu kila siku, huimarisha afya ya moyo na kuepusha vifo vya mapema kwa asilimia 19, utafiti umebaini....
LONDON, Uingereza
HEWA chafu ni moja ya sababu zinazoweza kuathiri uwezo wa ubongo wako kutunza kumbukumbu, kwa mujibu wa utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha...
LONDON, England
MSIMU ujao wa 2025-26 uko njiani, ukitarajiwa kuanza kutimua vumbi mwezi ujao. Ni Ligi Kuu ya England (EPL), michuano ya soka inayotajwa kufuatiliwa...
LONDON, England
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, aliingia sokoni majira haya ya kiangazi akihitaji straika. Msako wake umeinasa saini ya mshambuliaji wa kimataifa wa Sweden,...
PRETORIA, Afrika Kusini
TEMBO wanatajwa kuwa ndiyo wanyama walio hatarini zaidi katika vitendo vya ujangili duniani kote, huku Afrika ikichomoza katika takwimu hizo.
Kwa mujibu wa...
NEW DELHI, India
TAKWIMU za wanafunzi 13,000 kujiua kila mwaka zimewaibua wataalamu wa afya ya akili nchini India, wakizitaka mamlaka kuamka na kuchukua hatua za...