Ads: info@gazetini.co.tz |
25.5 C
Dar es Salaam

AFYA

Wajawazito DRC na changamoto ya Ebola

BUNIA, DRC MLIPUKO wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeathiri kwa kiasi kikubwa utaratibu wa wajawazito kwenda kliniki, kama anavyoeleza...

Vijana wa Liberia na urahibu wa bangi

MONROVIA, Liberia KATIKA mitaa ya Mji Mkuu, Monrovia, utumizi wa dawa za kulevya aina ya bangi si jambo linalohitaji utafiti mkubwa kulibaini, na badala yake...

Watu milioni tatu hatarini kupata Ukimwi mwaka 2030

RIO, Brazil KWA mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa kupitia Programu yake ya Ukimwi (UNAIDS), watu zaidi ya milioni tatu watakuwa na maambukizi ya...

Vyakula hivi kiboko ya ugonjwa wa kiharusi

Na mwandishi wetu, Gazetini WATU takribani 795,000 hupata kiharusi (kupooza) kila mwaka nchini Marekani, huku wataalamu wakionya juu ya mtindo wa maisha, pia wakishauri aina...

Sikia hii ya unga wa protini kujenga mwili, kupunguza uzito

Na mwandishi wetu, Gazetini MARA kadhaa baadhi ya wataalamu wa mazoezi ya viungo huko mitandaoni, hasa TitTok na Instagram wamekuwa wakihimiza matumizi ya protini kwa...

Besigye alazwa ICU baada ya kuanguka mahakamani

KAMPALA, Uganda KIONGOZI mkongwe wa upinzani nchini Uganda, Dk. Kizza Besigye, amelazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) mjini Kampala baada ya kuanguka na kupoteza...

Utafiti: Ugumu wa maisha huathiri ubongo

Na mwandishi wetu, Gazetini NI utafiti uliofanywa na wanasayansi nchini Uingereza, ukibaini kuwa changamoto za kiuchumi zina athari kubwa katika afya ya ubongo. Utafiti huo umefanywa...

Ugonjwa wa Ebola bado kizungumkuti DRC

KINSHASA, DRC WATU zaidi ya 1,000 wameshapoteza maisha ndani ya miezi miwili ya ugonjwa wa Ebola nchini DRC, idadi kubwa zaidi, ikilinganishwa na mlipuko wa...

Tanzania yaidhinisha ombi la Sh trilioni 1.5 kupambana na UKIMWI…

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMATI ya Kitaifa ya Kuratibu na Kusimamia Fedha za Mfuko wa Dunia nchini Tanzania (TNCM) imeidhinisha rasmi ombi la Tanzania la...

Dc Temeke avitaka vyombo vya dola kuchunguza showroom za magari

Na mwandishi wetu, Gazetini MKUU wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi katika showroom za magari wilayani humo...

Dawa za kulevya ‘zamaliza’ vijana Ujerumani

MUNICH, Ujerumani IDADI ya vifo vya vijana vitokanavyo na utumizi wa dawa za kulevya imeripotiwa kuongezeka kwa kipindi kifupi cha mwaka mmoja nchini Ujerumani. Kwa mwaka...

‘Mitandao ya kijamii siyo daktari, chukua tahadhari’

Na mwandishi wetu, Gazetini UTAFITI uliochapishwa katika Jarida la JAMA unaoonesha kuwa mmoja kati ya watu watano nchini Marekani wanafanya maamuzi ya kinga na tiba...

Recent articles