Na mwandishi wetu, Gazetini
SEKTA ya Uchumi wa Buluu unaozingatia matumizi endelevu ya rasilimali za bahari na maji baridi, utakuwa na mchango mkubwa katika kuleta...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HISTORIA inakumbusha, kwamba kwa amri ya Obote, Idi Amin aliongoza jeshi kuvamia makazi ya Kabaka, vurugu zilizosababisha vifo vya raia zaidi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA siasa za Afrika na dunia kwa ujumla, Idi Amin ni mfano mzuri wa marais walioamua kuipuuza misingi ya demokrasia na...
KABUL, Afghanistan
KWA wananchi wa Afghanistan, miaka mitano ya utawala wa Kundi la Taliban imekuwa ya mafanikio makubwa katika kurejesha amani nchini humo.
Hata hivyo, wanalitaka...
TEHRAN, Iran
HATIMAYE Serikali ya Iran imeibuka na ujumbe wa kusisitiza kuwa bado ndiyo inayodhibiti safari zote za meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz.
Kuibuka kwa Iran...
BEIRUT, Lebanon
LEBANON imekuwa nchi ya kwanza ya Mashariki ya Kati kufuta sheria ya hukumu ya kifo kwa wafungwa wake. Hatua hiyo ilifikiwa hivi karibuni...
DAMASCUS, Syria
WAKATI hali ya utulivu ikiwa haijatengamaa, Syria iliingia katika Uchaguzi Mkuu mwaka 2021 na Assad kushinda kwa muhula wake wa nne madarakani. Ni...
DAMASCUS, Syria
KAMA ilivyoelezwa katika sehemu ya kwanza ya makala haya, Assad hakutarajiwa kuwa kiongozi wa Syria. Hakuonekana kupenda siasa na kufuata nyayo za baba...
DAMASCUS, Syria
MAHAKAMA Kuu ya Syria imemuhukumu kifo aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Bashar al-Assad, baada ya kumkuta na hatia katika mashitaka ya uhalifu dhidi ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SAYANSI na Teknolojia zinachochea ubunifu na kuongeza tija na ushindani. Hivyo basi, sayansi na teknolojia ni vichocheo muhimu vinavyoleta tija, ufanisi...