Ads: info@gazetini.co.tz |
31.2 C
Dar es Salaam

Siasa

Makamu wa Rais anasota gerezani

PAYNESVILLE, Liberia HIVI karibuni, Mahakama nchini Liberia ilimpa ruhusa ya kutoka gerezani Makamu wa Rais wa zamani, Jewel Howard-Taylor, ili kwenda kupata matibabu ya nje,...

Mtangazaji ahukumiwa kifo kisa dawa za kulevya

CAIRO, Misri MTANGAZAJI maarufu wa vipindi vya televisheni nchini Misri, Sarah Khalifa, ni miongoni mwa watuhumiwa 11 walihukumiwa kifo kwa makosa ya kujihusisha na mtandao...

Vigogo wa Marekani waingia Urusi, Ukraine

WASHINGTON DC, Marekani VIGOGO wawili wa serikali ya Marekani, Steve Witkoff na Jared Kushner, wamezitembelea Urusi na Ukraine wikiendi hii. Ripoti zinaeleza kuwa ziara hiyo imelenga...

Mlipuko kambi ya jeshi waua wawili

LA PAZ, Bolivia WATU wawili wamepoteza maisha katika mlipuko uliotokea katika kambi ya jeshi nchini Bolivia, ingawa mamlaka zinadai kuwa huenda idadi ya vifo ni...

Mahakama yaagiza mwandishi kukamatwa

TUNIS, Tunisia MAHAKAMA nchini Tunisia imetoa agizo la kukamatwa na kushikiliwa kwa mwandishi wa habari maarufu, Mohamed Yousfi, jana Septemba 4, 2026. Aidha, mahakama ilieleza kuwa...

Bill Clinton na nyumba zake za bei mbaya Marekani

LOS ANGELES, Marekani TANGU Bill Clinton alipomaliza majukumu yake ya urais wa Marekani mwaka 2001, amekuwa akiishi Chappaqua, New York, makazi yaliyozungukwa na miti, na...

Uchaguzi kuinasua Libya iliyopasuka vipande viwili?

TRIPOLI, Libya BAADA ya mvutano wa muda mrefu kati ya kati ya serikali mbili, walau wananchi wa Libya wameanza kuona mwanga wa kurejea kwa amani...

Wapiga kura milioni 15 kuamua hatima ya wagombea 700

RABAT, Morocco KUELEKEA Uchaguzi wa Wabunge wa Septemba 23, 2026, wanasiasa nchini Morocco wataanza mikutano ya kampeni ifikapo Septemba 10. Wagombea zaidi ya 700 kutoka vyama...

Uhaba wa mafuta wazua balaa Iran

TEHRAN, Iran SIKU chache tu baada ya Marekani kutangaza vikwazo vipya kwa Iran, uhaba wa mafuta umeripotiwa kuyakabili maeneo mengi ndani ya nchi hiyo ya...

Waliouawa Gaza wafikia 900, watoto 301

JERUSALEM, Palestina WATU zaidi ya 900, wakiwamo watoto 301, wameuawa katika Ukanda wa Gaza na idadi hiyo ni kwa mwaka 2026 pekee. Takwimu hizo zimetolewa na...

Usiyoyajua kuhusu mauaji ya halaiki ya Rwanda 1994 (4)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA sehemu ya tatu ya makala haya, tuliona kilichotokea Aprili 8, 1994, ambapo Spika wa Bunge, Theodore Sindikubwabo, alitangazwa kuwa Rais...

Nani kumaliza vita vya Putin, Ukraine?

MOSCOW, Urusi WAZIRI Mkuu wa India, Narendra Modi, amemshauri mshirika wake mkubwa, Vladimir Putin, kumaliza vita vinavyoendelea kati ya nchi yake ya Urusi na majirani...

Recent articles