BELGRADE, Serbia
RAIS wa Serbia, Aleksandar Vucic, ametangaza kujiuzulu, ukiwa ni zaidi ya mwaka mmoja tangu maandamano makubwa ya wanafunzi nchini humo.
Maandamano hayo yaliyoongozwa na...
ADDIS ABABA, Ethiopia
HALI ya kisiasa nchini Ethiopia inaibua uwezekano wa nchi hiyo kuingia kwenye vita. Mvutano kati ya Serikali na Chama kinachodhibiti Kaskani mwa...
NEW YORK, Marekani
WIZARA ya Mambo ya Nje ya Uingereza imeitahadharisha Iran ikiitaka kuacha jaribio lolote la kuishambulia nchi hiyo.
Aliyetuma ujumbe huo ni Katibu Mkuu...
WASHINGTON DC, Marekani
WAANDISHI wa habari wa CNN na MS NOW wamedai kuzuiwa kuingia kwenye hafla ya chakula cha usiku iliyofanyika Ikulu ya Marekani, wakisisitiza...
JERUSALEM, Israel
WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, haoni kama Serikali yake ilifanya kosa kutekeleza mashambulizi ya kijeshi Iran, Gaza na maeneo mengine ya Mashariki...
NEW YORK, Marekani
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amekutana ana kwa ana na mwenzake wa Venezuela, Delcy Rodríguez, wakati wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa...
NEW YORK, Marekani
UMOJA wa nchi tajiri saba duniani unaozihusisha Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan na Marekani, umeitaka Iran kuacha mara moja kusapoti...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KWA nyakati na nyakati, jina la Gobless Lema limekuwa likiingia na kutoka katika shutuma za usaliti ndani ya Chama cha Demokrasia...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HISTORIA ya siasa za Afrika itaendelea kumkumbuka kama kielelezo cha viongozi wachache waliowahi kutumia vibaya nafasi zao.
Alikuwa rais wa Liberia kuanzia...
CARACAS, Venezuela
KWA sasa, Alejandro Betancourt anatarajiwa kama mtu muhimu katika mkataba wa mafuta ulioingiwa kati ya nchi yake ya Venezuela na Marekani, kwa mujibu...
TUNIS, Tunisia
"WALE wanaozikosoa mamlaka au mambo yanavyokwenda nchini Tunisia wanakumbana na ukandamizaji." Ni kauli ya Messaoud Romdhani, mwanaharakati wa haki za binadamu katika nchi...
LAGOS, Nigeria
UTAFITI uliohusisha wanafunzi 222 kutoka vyuo vikuu 34 nchini Nigeria umebaini kuwa asilimia 52.1 hawajajiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu ujao .
Aidha, katika...