Ads: info@gazetini.co.tz |
23.3 C
Dar es Salaam

Siasa

UN yaionya Israel kuhusu Gaza

LOS ANGELES, MarekaniBARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) limeitaka Israel kuacha mara moja mpango wake wa mpya wa 'kuuteka' Mji wa Gaza.Kauli...

Kivuli cha rais kinavyoitesa Togo

LOME, TogoMIEZI mitatu iliyopita, siasa za Taifa la Togo zilitikiswa na hatua ya Rais Faure Gnassingbe kutangaza kujiuzulu. Tangu hapo, wadhifa huo umekuwa chini...

Utu au masilahi binafsi? Sababu za Saudia kuipigania Palestina

RIYADH, Saudi ArabiaSERIKALI ya Saudi Arabia iko mstari wa mbele ikiiunga mkono Palestina katika harakati za za kutaka kutambulika kama nchi huru nje ya...

Kwanini viongozi Afrika hukimbilia kutibiwa nje?

LUSAKA, Zambia HIVI karibuni, Afrika iliwapoteza marais wastaafu wawili kutoka mataifa ya Nigeria na Malawi, Muhammadu Buhari na Edgar Lungu, ambao wote walikuwa nje ya...

Salum Mwalimu mgombea urais Chaumma, Devota Minja mgombea mwenza

Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimemtangaza Salum Mwalimu kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu...

Trump ameikabidhi Afrika mikononi mwa China?

PRETORIA, Afrika KusiniMATAIFA ya Afrika yanakabiliwa na kiwango cha juu cha ushuru kwa bidhaa zake zitakazoingia Marekani, ikiwa ni sera ya utawala wa Rais...

Shetta ashinda kura za maoni Mchikichini

Na Mwandishi Wetu Msanii Nurdin Bilal maarufu Shetta, ameshinda kwenye kura za maoni ya kugombea udiwani Kata ya Mchikichini, Ilala, Dar es Salaam kupitia CCM. Katika...

Urio awabwaga wanne Kunduchi aongoza kura za maoni

Na Mwandishi Wetu Mgombea wa udiwani Kata ya Kunduchi, jijini Dar es Salaam anayetetea nafasi yake Michael Urio ameibuka kinara katika kura za maoni kwa...

Dogo Janja aibuka kidedea kura za maoni ya udiwani Ngarenaro

Na Mwandishi Wetu Msanii wa Bongofleva, Abdulaziz Abubakar ' Dogo Janja', ameongoza katika kura za maoni ya udiwani katika Kata Ngarenaro, mkoani Arusha kupitia Chama...

ADF tishio jipya la ugaidi Afrika Mashariki?

KINSHASA, DRCWIKI iliyopita, watu wenye silaha walioripotiwa kuwa ni wapiganaji wa Kundi la The Allied Democratic Forces (ADF) walivamia kanisa mjini Komanda, Jamhuri ya...

Januari Makamba, Mpina wakwama, Nape avuka uteuzi CCM

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amejata majina ya wagombea sita wa  Jimbo...

Waandamana kumpinga rais Ukraine

KYIV, Ukraine MAELFU ya raia wa Ukraine wameandamana kuipinga hatua ya Rais Volodymyr Zelensky kupitisha sheria inayobana uhuru wa taasisi kubwa mbili, ikiwamo ya Kuzuia...

Recent articles