Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Siasa

Kiwango cha umasikini duniani

NEW YORK, Marekani MIAKA 10 iliyopita, Umoja wa Mataifa ulipitisha azimio la kumaliza aina zote za umasikini, kuhakikisha usawa katika jamii, pamoja na kudhibiti majanga...

‘Mende’ wa India wanavyompasua kichwa Waziri Mkuu

NEW DELHI, India MAANDAMANO makubwa ya vijana nchini India yanaipa wakati mgumu Serikali ya Waziri Mkuu, Narendra Modi. Gen-Z hao kupitia Chama chao cha 'Vijana wa...

Aliyefariki mikononi mwa polisi aibua maandamano

MILAN, Italia MAELFU ya raia wa Italia wameingia barabarani kulaani taarifa za kifo cha mwenzao aliyefariki akiwa anashikiliwa na polisi huko Kaskazini mwa Mji wa...

Trump kuibiwa kura: Madai yake yana ukweli kiasi gani?

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA hotuba yake ya Julai 17, 2026, Rais Donald Trump aliishutumu China kwa kuingilia Uchaguzi Mkuu wa Marekani wa mwaka 2020. Trump...

Maswali yanayomsubiri Waziri Mkuu mpya wa Uingereza 

LONDON, Uingereza  ATAANZA majukumu yake kama Waziri Mkuu kesho Julai 20, 2026. Andy Burnham aliyekuwa Meya wa Manchester, Jiji lililoko Kaskazini mwa England.  Amekuwa Meya wa...

Rais Hungary anyoosha mikono, akubali kujiuzulu

BUDAPEST, Hungary RAIS wa Hungary, Tamas Sulyok, hatimaye amekubali kujiuzulu baada ya shinikizo kubwa kutoka bungeni. Hatua yake ya kujiweka kando inakuja baada ya Chama cha Waziri...

Mpasuko jeshini baada ya Waziri ‘kutumbuliwa’

KYIV, Ukraine HATUA ya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, kumuweka kando aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Mykhailo Fedorov, imezua mjadala ndani ya jeshi la nchi hiyo. Baadhi...

Marekani yaipiga Iran kwa mara ya saba

TEHRAN, Iran JESHI la Marekani limetibitisha kufanya shambulizi la usiku kwa mara ya saba mfululizo nchini Iran. Huo ni mwendelezo wa Iran kushambuliwa usiku tangu Rais...

Hezbollah waionya Serikali ya Lebanon

BEIRUT, Lebanon KUNDI linalohusishwa na ugaidi la Hezbollah limeionya Serikali ya Lebanon, likisema inaipeleka pabaya nchi hiyo ya Mashariki ya Kati. Mbunge mwandamizi wa Hezbollah, Ali...

Rais Trump ailipua China kisa Uchaguzi 2020

WASHINGTON DC, Marekani RAIS Donald Trump ameibuka na madai kuwa wapinzani wao wakubwa kiuchumi, China, walitia mkono katika Uchaguzi Mkuu wa Marekani wa mwaka 2020. Kwa mujibu...

Iran inatishia au italipiza kisasi kifo cha Khamenei?

TEHRAN, Iran TANGU Iran ilipomzika Ayatollah Ali Khamenei siku chache zilizopita, mamlaka za nchi hiyo zimeahidi kulipiza kisasi kwa wahusika wa mauaji ya kiongozi wao huyo. Mtoto...

Waziri aagiza uchunguzi vurugu za uchaguzi

NAIROBI, Kenya WAZIRI wa Usalama wa Ndani wa Kenya, Kipchumba Murkomen, ameagiza vyombo vya usalama nchini humo kufanya uchunguzi wa kina kuhusu madai ya vurugu...

Recent articles