Ads: info@gazetini.co.tz |
21.1 C
Dar es Salaam

Mazingira

JET, IUCN wawanoa waandishi wa habari kuhusu uchumi wa buluu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Tanga Katika kuhakikisha kuwa waandishi wa habari wanakuwa mstari wa mbele kuelimisha jamii na kuchochea sera kuhusu uchumi wa buluu, Chama cha...

IUCN na JET kuwanoa waandishi katika kuandika masuala ya Uchumi wa Buluu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mradi wa Bahari Mali, unaotekelezwa na Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira (IUCN), unalenga kuonesha mifano ya vitendo ya uchumi...

Bunge  laridhia marekebisho mpaka wa  Hifadhi ya Nyerere

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Bunge limeridhia ombi la Serikali la kumega sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kwa lengo la kutatua migogoro ya mipaka...

Chart| Watanzania waanza kuitikia matumizi ya nishati safi ya kupikia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Dar es Salaam, Juni 25, 2025 – Licha ya juhudi mbalimbali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini Tanzania,...

Dk. Mpango atoa wito  kwa Mataifa kupunguza uchafuzi wa mazingira, kulinda bioanuwai ya baharini

Na Mwandishi Wetu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Mataifa kuhakikisha kunakuwa na hatua za pamoja,...

Tanzania yaadhimisha Siku ya Bahari Duniani kwa kusisitiza uchumi wa buluu endelevu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Juni 8, 2025, Tanzania iliungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Bahari Duniani — siku muhimu ya kutoa wito wa...

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji yatakiwa kutanua wigo wa kazi

Na Mwandishi Wetu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Stephen Nindi, ameitaka Tume ya Taifa ya Umwagiliaji kutanua wigo wa...

JET yaonya uwindaji haramu wa kasa

*Yasema unatishia uhai wa binadamu na bahari Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mei 23, ni Siku ya Kimataifa ya Kasa wa Baharini, Chama cha Waandishi wa Habari...

Tembo, Simba watesa wananchi Serengeti

Na Malima Lubasha,Gazetini-Serengeti Wakazi wa Kata ya Nagusi, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, wameelezea hofu na wasiwasi mkubwa kutokana na ongezeko la matukio ya uvamizi...

Serikali yaweka mikakati kudhibiti magugumaji Ziwa Victoria

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweka mikakati  ya kuhakikisha changamoto ya uwepo wa magugumaji katika ziwa Victoria inapatiwa ufumbuzi ili kuwezesha...

Serengeti ni Tunu ya Taifa na Urithi wa Dunia itunzeni

Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, amewataka wananchi kushirikiana kwa karibu na wahifadhi katika kulinda, kutunza na kuhifadhi maeneo...

Waziri Masauni, Umoja wa Ulaya wajadili Mazingira

Mwandishi Maalum-Denmark Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni ameelezea mkakati wa Tanzania katika utekelezaji wa programu za...

Recent articles