LONDON, UingerezaKOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta, atamkosa kwa wiki sita hadi nane winga wake mpya, Noni Madueke, baada ya nyota huyo kupata majeraha ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
AKIWA na umri wa miaka 82, Joe Biden aliondoka madarakani na kumpisha Donald Trump aliyeshinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
TAKRIBANI asilimia 60 ya vijana wa Afrika wanaamini watapata maisha bora endapo wataondoka na kwenda 'kupambana' nje ya Bara hili.
Wengi wao...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KUKOSA muda wa kutosha wa kulala, hasa nyakati za usiku, kunaweza kusababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, kwa mujibu wa utafiti mpya...
MANCHESTER, UingerezaMKONGWE wa Ligi Kuu ya England, Gary Neville, amemtaka Mikel Arteta kuachana na mbinu zake.Kauli ya beki huyo wa zamani wa Manchester United...
LONDON, UingerezaULIMWENGU wa michezo umetikiswa na kifo cha lejendari wa ngumi za uzito wa 'light welter' nchini Uingereza, Ricky Hatton.Kwa mujibu wa polisi wa...
MERSEYSIDE, UingerezaUSHINDI wa bao 1-0 dhidi ya Burnley umeifanya Liverpool kuwa timu ya kwanza katika historia ya Ligi Kuu ya England (EPL) kushinda mechi...
PRETORIA, Afrika KusiniSAA 72 tu baada ya kumfuta kazi Nasreddine Nabi, mabosi wa Kaizer Chiefs wamemtangaza kocha mpya.Pedro Goncalves, raia wa Ureno mwenye umri...
MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema hafikirii kubadili mbinu anazotumia, licha ya wengi kukosoa kiwango cha timu hiyo.Man United imekuwa na mwanzo...
PARIS, UfaransaLUCA Zidane ambaye ni mtoto wa mkongwe Zinedine, amechagua kuitosa Ufaransa na sasa ataonekana akiwa na timu ya taifa ya Algeria.Nyota huyo anakidhi...
BOGOTA, ColombiaRIPOTI mpya ya Taasisi ya Global Witness imeitaja Colombia kuwa ndilo Taifa lenye idadi kubwa ya mauaji ya wanaharakati wa mazingira.Kwa mwaka jana...
LONDON, UingerezaKIUNGO wa zamani wa Arsenal, Thomas Partey, amekanusha mashitaka ya ubakaji yaliyofunguliwa dhidi yake na wanawake wawili.Nyota huyo wa kimataifa wa Ghana anatajwa...