Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Mgombea urais aahidi kumuajiri Klopp

BENFICA, UrenoHAITASHANGAZA kuona kocha wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp, akiajiriwa kuliongoza benchi la ufundi la Benfica.Ndiyo, mmoja ya wagombea wa nafasi ya urais...

Rooney asema Amorim ameshindwa kazi United

MANCHESTER, UingerezaKWA mujibu wa Wayne Rooney, Manchester United imekuwa mbovu zaidi chini ya kocha raia wa Ureno, Ruben Amorim.Man United, mabingwa mara 20 wa...

Yamal, De Jong kuikosa Newcastle

CATALUNYA, HispaniaKOCH wa Barcelona, Hansi Flick, amefichua kuwa atamkosa mshambuliaji wake, Lamine Yamal, katika mchezo wa Alhamisi ya wiki hii dhidi ya Newcastle United.Wakati...

Makocha waliofungashiwa virago msimu huu

LONDON, UingerezaNI wiki chache tu zimepita tangu msimu huu (2025-26) wa soka la Ulaya ulipoanza lakini tayari baadhi ya makocha wameonja 'joto la jiwe'...

Waziri Mkuu azomewa Chelsea ikiambulia sare

LONDON, UingerezaWAKATI Chelsea ikilazimishwa sare ya mabao 2-2 na Brentford jana, hali ilikuwa mbaya kwa Waziri Mkuu wa Uingereza aliyekuwa uwanjani akifuatilia mchezo huo...

Simone Gbagbo: Mwanamama anayemtikisa Ouattara kiti cha urais Ivory Coast

Na mwandishi wetu, GazetiniMOJA ya vivutio vikubwa vya Uchaguzi Mkuu ujao wa Ivory Coast ni jina la mgombea wa urais, Simone Gbagbo, ambaye ni...

Martial aondoka Ugiriki, atua Mexico

ATHENS, UgirikiMSHAMBULIAJI wa zamani wa Manchester United, Anthony Martial, amekamilisha usajili wa kujiunga na Monterrey ya Mexico.Nyota huyo anaungana beki wa zamani wa Real...

Mtaalamu wa usajili Arsenal kutua Brighton

LONDON, UingerezaALIYEWAHI kuwa Mkurugenzi wa Michezo wa Arsenal, Jason Ayto, anajiandaa kuanza ajira yake mpya katika klabu ya Brighton.Mei, mwaka huu, Ayto aliondoka Arsenal...

Mourinho aikomoa Fenerbahce, achota bil. 25/-

INSTANBUL, UturukiKLABU ya Fenerbahce ya Uturuki italazimika kumlipa Jose Mourinho kiasi cha Pauni milioni 7.7 (zaidi ya Sh bil. 25 za Tanzania) baada ya...

Ronaldo mwanamichezo ghali zaidi duniani

LONDON, UingerezaCRISTIANO Ronaldo ndiye mwanamichezo aliyeingiza fedha nyingi zaidi duniani kwa mwaka jana, akivuna mara mbili zaidi ya mpinzani wake, Lionel Messi.Kwa mwaka jana...

Everton yanogewa kumbakiza Grealish

MERSEYSIDE, UingerezaMABOSI wa Everton wanaangalia uwezekano wa kumsajili moja kwa moja winga wao wa mkopo kutoka Manchester City, Jack Grealish.Grealish amekuwa moto wa kuotea...

‘Mfalme wa bangi’ aliyeteuliwa Waziri Mkuu Thailand

Na mwandishi wetu, GazetiniJINA la Anutin Charnivirakul si geni nchini Thailand. Ni mwanasiasa mkongwe na hivi karibuni aliteuliwa kuwa Waziri Mkuu baada ya kura...

Recent articles