TURIN, ItaliaSAINI ya kiungo wa Juventus, Manuel Locatelli, inawindwa vikali na klabu za Ligi Kuu ya England, zikiwamo Aston Villa na West Ham United.Wakati...
TURIN, ItaliaKLABU ya Manchester United imeanza kumfuatilia mlinda mlango wa AC Milan, Mike Maignan, licha ya kwamba wana upinzani mkali kutoka kwa Chelsea.Man United...
LONDON, UingerezaIMERIPOTIWA kuwa klabu za England, Arsenal na Liverpool, kila moja inajaribu kuinasa huduma ya mshambuliaji wa Real Madrid raia wa Brazil, Vinicius Jr.Vinicius...
NYON, UswisSHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (FIFA) linatazamia kufikisha timu 64 zitakazokuwa zikishiriki fainali za Kombe la Dunia.Ikumbukwe kuwa kwa mara ya kwanza katika...
JERUSALEM, PalestinaRAIS wa Palestina, Mahmoud Abbas, amesema yuko tayari kushiriki katika mpango wowote wa kutafuta suluhu kati yao na Israel.Abbas ameyasema hayo kupitia video...
PARIS, UfaransaRAIS wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani.Wakati huo huo, adhabu hiyo imeenda sambamba na hatua ya Mahakama...
LONDON, UingerezaMEYA wa Jiji la London, Sadiq Khan, amemwita Rais wa Marekani, Donald Trump, kuwa ni mtu aliyetawaliwa na ubaguzi wa rangi, jinsia na...
Na mwandishi wetu, GazetiniAPEKSHA Shetty, mwanamke raia wa India mwenye makazi yake mjini Vienna, anasema alianza kutumia vidonge vya uzazi wa mpango akiamini vingemsaidia...
Munich, UjerumaniMARA ya mwisho kwa mchezaji wa Ujerumani kutwaa tuzo ya Ballon d'Or ni miaka takribani 30 iliyopita. Ni Matthias Sammer aliyeibeba mwaka 1996.Sammer...
LILONGWE, MalawiALIYEWAHI kuwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika, ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika wiki iliyopita.Wakati huo huo, aliyekuwa...