Ads: info@gazetini.co.tz |
31.4 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Utafiti: Sokwe nao ni walevi wa pombe kama binadamu

Na Hassan Mwasha, GazetiniKAMA ulidhani binadamu ndiye kiumbe pekee kinachotumia kilevi aina ya pombe hapa duniani kwa ajili ya starehe au kupoteza mawazo, basi...

Umoja wa Afrika na presha ya mapinduzi ya kijeshi

Na mwandishi wetu, GazetiniMBALI ya kulaani tukio la jeshi kupindua Serikali, Umoja wa Afrika (AU) umesitisha kwa muda uanachama wa Madagascar, huku hatua hiyo...

Mgomo wa wachezaji waendelea La Liga

MADRID, HispaniaMECHI za Ligi Kuu ya La Liga zimeendelea kushuhudia wachezaji wakisimama bila kucheza mpira kwa sekunde 15 za mwanzo.Kitendo hicho kinatumika kama ujumbe...

Trump asitisha misaada Colombia

WASHINGTON DC, MarekaniSERIKALI ya Marekani chini ya Rais Donald Trump imetangaza kusitisha misaada yake kwa Colombia, ikidai Taifa hilo halina nia ya kutokomeza uzalishaji...

Vurugu zamaliza ‘derby’, polisi wajeruhiwa

TEL AVIV, IsraelVURUGUGU kubwa za mashabiki wa Hapoel Tel Aviv na Maccabi Tel Aviv wameshambuliana na kusababisha mchezo kati ya timu hizo zenye upinzani...

United wamaliza ‘uteja’ Anfield

MERSEYSIDE, UingerezaBAO la mpira wa kichwa katika dakika ya 84 lililofungwa na Harry Maguire limeifanya Manchester United kupata ushindi wake wa kwanza katika mechi...

Kane hashikiki, afikisha mabao 400

MUNICH, UjerumaniSTRAIKA wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane, amefikisha mabao 400 katika soka la ngazi ya klabu.Kane amefika hapo...

Forest wamtimua Postecoglou, aweka rekodi

LONDON, UingerezaKLABU ya Nottingham Forest imemfuta kazi kocha wake raia wa Austria, Ange Postecoglou, akiwa amehudumu kwenye benchi la ufundi kwa siku 39 pekee.Postecoglou...

Arteta ampa mbinu mpya Gyokeres

LONDON, UingerezaMKUU wa benchi la ufundi la Arsenal, Mikel Arteta, amemtaka Viktor Gyokeres kuachana na presha za nje ya uwanja na badala yake kuelekeza...

Benitez akaribia kuajiriwa Ugiriki

ATHENS, UgirikiALIYEWEHI kuwa kocha wa Liverpool, Rafa Benitez, anakaribia kutangazwa kuwa mkuu mpya wa benchi la ufundi la klabu ya Panathinaikos ya Ugiriki.Benitez, raia...

Mancini kocha mpya Man United

MANCHESTER, UingerezaKOCHA mkongwe raia wa Italia, Roberto Mancini, amewaambia watu wake wa karibu kuwa huenda akakabidhiwa mikoba ya kuinoa Manchester United.Kwa sasa, kocha raia...

Maresca athibitisha Palmer nje wiki sita

LONDON, UingerezaMKUU wa benchi la ufundi la Chelsea, Enzo Maresca, ameweka wazi kuwa atamkosa kwa wiki sita mshambuliaji wake tishio, Cole Palmer.Palmer, raia wa...

Recent articles