Ads: info@gazetini.co.tz |
23.4 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Makamu wa Rais Sudan afunguliwa mashitaka

JUBA, Sudan KusiniMAKAMU wa Rais wa Kwanza wa Sudan Kusini, Riek Machar, amefunguliwa mashitaka akishutumiwa kwa uhaini na mauaji.Kwa mujibu wa Waziri wa Sheria,...

Rais ahukumiwa miaka 27 gerezani

RIO, BrazilRAIS wa zamani wa Brazil, Jair Bolsonaro, amehukumiwa kifungo cha miaka 27 na miezi mitatu gerezani kwa kosa la kusuka mpango wa kupindua...

Cape Verde bado pointi 3 tu kutinga Kombe la Dunia

PRAIA, Cape VerdeUSHINDI wa nyumbani wa bao 1-0 dhidi ya Cameroon unaifanya timu ya taifa ya Cape Verde iwe kwenye nafasi nzuri ya kufuzu...

Mke wa Gbagbo kugombea urais Ivory Coast

YAMOUSSOUKRO, Ivory CoastMKE wa Rais wa zamani wa Ivory Coast, Laurent Gbagbo, ni miongoni mwa wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu ujao.Simone Gbagbo mwenye umri...

Ufaransa yapata Waziri Mkuu mpya

PARIS, UfaransaRAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amemtangaza Sebastien Lecornu kuwa Waziri Mkuu mpya akichukua nafasi ya Francois Bayrou.Lecornu mwenye umri wa miaka 39, alikuwa...

Wananchi wachoma Bunge, Waziri Mkuu ajiuzulu

KATHMANDU, NepalMAANDAMANO ya wananchi wenye hasira kali yamepelekea kuchomwa kwa ofisi za Bunge nchini Nepal, hatua iliyosababisha Waziri Mkuu kujiuzulu.Hasira za wananchi zimetokana na...

Afya yamzuia Duterte kupanda kizimbani ICC

THE HAGUE, UholanziMAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imehairisha usikilizaji wa mashitaka yanayomkabili Rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte.Kwa mujibu wa wanasheria wake,...

Zikijichanganya tu, zinashuka daraja EPL

LONDON, EnglandNI mapema mno lakini tayari baadhi ya klabu zinaonesha dalili ya kushuka daraja msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL). Ikumbukwe, timu...

Dili hizi ziligonga mwamba usajili kiangazi Ulaya

LONDON, UingerezaTUKUTANE Januari. Zipo dili nyingi zilizokwama wakati wa usajili wa dirisha kubwa lililofungwa hivi karibuni na sasa zinasubiri Januari.Je, ni dili zipi zilizoshindwa...

City v United … Guardiola kumfukuzisha kazi Amorim?

MANCHESTER, UingerezaNI Jumapili ya wiki hii, ambapo nyasi za Uwanja wa Etihad zitabeba uzito wa dakika 90 za 'derby' ya jijini Manchester.Manchester City watakaokuwa...

Barca imemchoka Rashford, kumrudisha Man United

CATALUNYA, HispaniaKLABU ya Barcelona inaangalia uwezekano wa kuiambia Manchester United imchukue mshambuliaji wake raia wa England, Marcus Rashford.Rashford alijiunga na Barcelona kwa mkopo akitokea...

Chart| Liverpool yaongoza matumizi soko la usajili

MERSEYSIDE, England LIVERPOOL ndiyo klabu ya Ligi Kuu ya England iliyotumia fedha nyingi zaidi wakati wa dirisha kubwa la usajili wa kiangazi barani Ulaya. Usajili huo...

Recent articles