Ads: info@gazetini.co.tz |
20.8 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Rais ‘mzee’ zaidi duniani ashinda tena Uchaguzi Cameroon

YAOUNDE, CameroonAKIWA na umri wa miaka 92, Paul Biya ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha urais katika Uchaguzi Mkuu wa Cameroon uliofanyika hivi karibuni.Biya...

Arsenal haishikiki EPL, ‘ukuta’ waipa jeuri

LONDON, UingerezaBAADA ya mechi za wikiendi iliyopita, sasa Arsenal wako kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya England (EPL) wakiwa wameizidi pointi nne timu...

Miamba 16 iliyoingia makundi Shirikisho Afrika

Na mwandishi wetu, GazetiniJUMLA ya timu 16 zimeshaingia hatua ya makundi ya msimu huu wa 2025-26 wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.Kinachosubiriwa kwa...

Waasi Sudan watangaza kuteka mji

DARFUR, SudanWAPIGANAJI wa kikundi cha waasi cha Rapid Support Forces (RSF) wametangaza kuuteka Mji wa el-Fasher ulioko Magharibi mwa Sudan.Kwa miezi takribani 18, wapiganaji...

Kaze afurahia Kaizer kutinga makundi CAF

JOHANNESBURG, Afrika KusiniKOCHA wa Kaizer Chiefs, Cedric Kaze, amefurahi na kuwapongeza wachezaji wake baada ya kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.Wakiwa...

Misri, Nigeria kuvaana Desemba 14

CAIRO, MisriTIMU ya soka ya taifa ya Misri itaikabili Nigeria katika mchezo wa kirafiki wa kujiandaa na fainali za mwaka huu za Mataifa ya...

Uchaguzi Mkuu Ivory Coast na hofu ya machafuko

Na mwandishi wetu, GazetiniTAIFA kongwe la Afrika Magharibi, Ivory Coast, limeingia katika Uchaguzi Mkuu, huku wagombea watano wakiwania kiti cha urais. Miongoni mwao ni...

Bellingham aendeleza ubabe wake kwa Barcelona

MADRID, HispaniaKIUNGO wa Real Madrid, Jude Bellingham, amefunga bao moja na kutoa 'asisti' katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Real Madrid.Akifunga katika dakika...

Usiyoyajua kuhusu ICC; Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa

Na mwandishi wetu, Gazetini MWAKA jana, Ras Donald Trump alitangaza kuiwekea vikwazo Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) kwa kile alichodai kuwa Mahakama hiyo imekuwa...

Bei ya fomu ya urais yashitua raia Guinea

CONAKRY, GuineaRAIA wa Guinea wameshangazwa na gharama kubwa ya fomu ya kuwania urais iliyotangazwa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Desemba, mwaka huu.Gharama ya fomu ya...

Ni zamu ya Kane kubeba Ballon d’Or?

LONDON, UingerezaMWANZONI mwa mwaka huu, Harry Kane alitimiza ndoto yake ya miaka mingi; kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu. Ni baada ya miaka 15 ya...

Zimbabwe yatimua kocha kisa Kombe la Dunia

HARARE, ZimbabweMATOKEO mabaya katika mechi za kufuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia yamesababisha kocha wa timu ya taifa ya Zimbabwe 'Warriors', Michael Nees,...

Recent articles