Ads: info@gazetini.co.tz |
22.5 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Ajax yapanga kumtimua kocha

AMSTERDAM, UholanziMABOSI wa klabu ya Ajax wako mbioni kumfuta kazi kocha John Heitinga, licha ya kwmaba ni miezi sita tu tangu ilipompa ajira ya...

Mataifa yanayoongoza kwa madeni duniani

Na mwandishi wetu, GazetiniDENI la Dunia limefikia Dola za Marekani trilioni 110.9 lakini zipo nchi zinazooneka kuwa kinara wa kukopa, kwa mujibu wa takwimu...

Nini chanzo idadi ndogo ya wapiga kura?

Na mwandishi wetu, GazetiniLICHA ya Rais Alassane Ouattara kushinda na kurejea madarakani kwa muhula wa nne, idadi ndogo ya wananchi waliojitokeza kupiga kura katika...

Kinga ya Ukimwi ilivyozua gumzo Zimbabwe

HARARE, Zimbabwe IFAHAMIKE kuwa Zimbabwe ni miongoni mwa mataifa 10 duniani yaliyochaguliwa kupokea kinga ya ugonjwa wa Ukimwi ya Lenacapavir. Hata hivyo, wakati wataalamu wa...

Kwanini paka weusi huhusishwa na imani za kishirikina?

Na mwandishi wetu, GazetiniUKIWA kwenye mizunguko yako, hasa nyakati za usiku, ghafla anakatiza paka mweusi mbele yako. Bila shaka, utaanza kuhisi hatari inayohusiana na...

Pioli afungashiwa virago Serie A

MILAN, ItaliaMABOSI wa Fiorentina wametangaza kumfuta kazi kocha wao, Stefano Pioli, kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo msimu huu wa Ligi Kuu ya...

Arsenal wavunja rekodi ya mwaka 1903

LONDON, UingerezaBAADA ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Slavia Prague usiku wa jana, sasa Arsenal imeandika historia ya kucheza mechi nane mfulululizo bila...

Makinda watakaowasha moto AFCON 2025

Na mwandishi wetu, GazetiniKWA miaka mingi, fainali za Mataifa Afrika (AFCON) zimekuwa zikiibua vipaji vipya vya soka, kama ilivyowahi kutokea kwa Samuel Eto'o, Yaya...

Mambo 5 kuhusu fainali za AFCON 2025

Na mwandishi wetu, GazetiniNI msimu wa 35 wa fainali za Mataifa Afrika (AFCON) na michuano hiyo itafanyika Kaskazini mwa Afrika katika Taifa la Morocco.Msimu...

Vinicius abisha hodi Ligi Kuu England

MADRID, HispaniaKITENDO cha Vinicius Junior kubwatukiana na kocha wake, Xabi Alonso, kimeibua taarifa kuwa nyota huyo ataondoka Real Madrid.Vinicius mwenye umri wa miaka 25,...

Rodgers ajiuzulu Celtic, O’Neill apewa mikoba

EDINBURGH, ScotlandALIYEWAHI kuwa kocha wa Liverpool, Brendan Rodgers, amejiuzulu kuinoa Celtic ya Ligi Kuu ya Scotland.Taarifa za Rodgers kuondoka zilikuja saa chache baada ya...

Ouattara arejea madarakani Ivory Coast

YAMOUSSOUKRO, Ivory CoastHATIMAYE Alassane Ouattara amechaguliwa tena kuwa Rais wa Ivory Coast, ukiwa ni muhula wake wa nne madarakani.Ouattara mwenye umri wa miaka 83,...

Recent articles