Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Watu 15 wakamatwa Nigeria tuhuma za unyanyasaji wa wanawake

Watu 15 wamekamatwa nchini Nigeria kufuatia tuhuma za unyanyasaji wa wanawake katika tamasha la kitamaduni lililofanyika jimbo la Delta. ABUJA, Nigeria POLISI nchini Nigeria wamewakamata watu...

Pete Hegseth: Mtaalamu wa vita anayempa jeuri Donald Trump

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA sasa ndiye 'Katibu wa Vita', jina ambalo amepewa na Rais Donald Trump. Kiuhalisia, Pete Hegseth ni Katibu wa Wizara ya...

WHO yathibitisha shambulio jingine la hospitali Sudan, watu 64 wafariki

DARFUR, Sudan SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limethibitisha kutokea kwa shambulio jingine dhidi ya huduma za afya nchini Sudan, safari hii likilenga Hospitali ya Kufundishia...

Shincheonji yaadhimisha miaka 42: Lee Man-hee asisitiza imani ya kweli ijengwe…

Na mwandishi maalum, Gazetini IBADA ya kuadhimisha miaka 42 tangu kuanzishwa kwa Shincheonji Kanisa la Yesu imefanyika Machi 15 katika Kanisa la Cheongju, Korea Kusini,...

Vita ya Iran yatikisa Serikali ya Trump

Washington, D.C. MKUU wa Kituo cha Taifa cha Kupambana na Ugaidi nchini Marekani, Joseph Kent, amejiuzulu wadhifa wake akipinga vikali vita vinavyoendelea dhidi ya Iran,...

Jela miaka 10 ukijihusisha na mapenzi ya jinsia moja Senegal

DAKAR, Senegal Bunge la Kitaifa la Senegal limepitisha kwa wingi muswada unaoongeza adhabu kwa watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja, hatua inayotarajiwa kuimarisha sheria zilizokuwepo...

Hizi ndizo ‘drone’ za bei rahisi inazotumia Iran kuzibomoa Marekani, Iran

TEHRAN, Iran WAKATI Marekani ilipoanza kuishambulia Iran wiki chache zilizopita, Donald Trump alijitamba kuwa wataangamiza viwanda vyote vya silaha nchini humo. Hata hivyo, Rais Trump alisahau...

Visual| Marais ving’ang’anizi wa madaraka duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini FEBRUARI 28, 2026 imeingia kwenye kumbukumbu baada ya kuwa ndiyo siku aliyouawa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, ambaye aliuawa katika ...

Kwa nini Urusi haiingilii kati kuisaidia Iran dhidi ya Marekani, Israel?

TEHRAN, Iran SAA chache baada ya Iran kuanza kushambuliwa makombora ya Marekani na Israel, Serikali ya Urusi ilitoa tamko zito. Mwakilishi wa Urusi ndani ya Umoja...

Uingereza yatoa msimamo wake vita ya Iran

LONDON, Uingereza WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Sir Keir Starmer, amesema serikali yake itashirikiana kwa karibu na sekta zilizoathirika pamoja na washirika wa kimataifa ili kukabiliana...

Israel: Kiongozi yeyote wa Iran atauawa

TEL AVIV, Israel SERIKALI ya Israel imeweka wazi kuwa itamshambulia kijeshi, ikiwamo kumuua, kiongozi yeyote atakayeingia madarakani kuiongoza Iran. Ujumbe huo wa tishio unalenga kiongozi atakayechukua...

Trump aitangazia uadui Hispania

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, ametishia kusitisha uhusiano wa kibiashara na Hispania, huku Iran ikiwa chanzo cha msuguano huo. Trump ameeleza nia yake...

Recent articles