Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Houthi wanavyoongeza ugumu Mashariki ya Kati

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI dunia ikiwa kwenye sintofahamu juu ya mustakabali wa vita vya Marekani na Iran, Kundi la kigaidi la Houthi nchini Yemen...

Marekani, Iran zatulia; bei ya mafuta yashuka

WASHINGTON DC, Marekani BEI ya mafuta katika soko la dunia imeshuka kwa asilimia 9, yakiwa ni matokeo ya mashambulizi ya Marekani na Iran kusimamia kwa...

Rais Ukraine awasili Uingereza

LONDON, Uingereza RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amewasili nchini Uingereza, ambako atakutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham. Zelensky atakuwa mgeni wa kwanza...

Wanasiasa wamnyima kibarua kocha Italia

MILAN, Italia ANDREA Pirlo amesema hawezi tena kupewa kibarua cha kuinoa timu ya soka ya Taifa ya Italia. Hiyo imesababishwa na wanasiasa. Iko hivi; Pirlo ni...

Rais wa Senegal azindua chama chake

DAKAR, Senegal RAIS wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amezindua chama kipya cha kisiasa kiitwacho Kiiray (Chama cha Wazalendo wa Jamhuri), hatua inayotajwa kuimarisha mgawanyiko...

Brazil yawapiga ‘stop’ viongozi wa Marekani

RIO, Brazil SERIKALI ya Brazil imewanyima vibali vya kuingia nchini humo viongozi wawili waandamizi wa Serikali ya Rais Donald Trump. Viongozi hao waliomba viza ya kuingia...

Meli ya mizigo yazama, watu 23 hawajulikani walipo

BEIJING, China MELI ya mizigo ya Vietnam imeripotiwa kuzama jirani na Mwamba wa Yongshu katika Bahari ya South China. Vyombo vya habari vya China vimeripotiwa taarifa...

Waisrael washutumiwa kuchoma misikiti ya Wapalestina

JERUSALEM, Palestina RAIA wa Israel wanaoishi West Bank wameripotiwa kuchomo moto misikiti, magari na mashamba ya Wapalestina katika eneo hilo. Madai hayo yanakuja zikiwa ni siku...

IWPG: Tusikubali vita kuwa jambo la kawaida

Na mwandishi wetu, Gazetini VIONGOZI wa wanawake kutoka Afrika, Ulaya na maeneo mengine duniani wametoa wito wa kuimarishwa kwa juhudi za kujenga amani duniani, wakisisitiza...

Karim Khan: Kuigusa Israel kumemfukuzisha kazi ICC?

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE Karim Khan ameondoshwa katika kiti cha Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Kashfa ya unyanyasaji wa...

Maeneo wanayokimbilia wahamiaji nchini Marekani

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA mwaka 2025, idadi ya wahamiaji nchini Marekani ilipungua kutoka milioni 2.7 hadi milioni 1.3, idadi ndogo zaidi katika historia ya...

Rais Trump na maswali yanayokosa majibu kuhusu Iran

TEHRAN, Iran VITA vinaendelea. Si Marekani wala Iran, kila upande umekiuka makubaliano ya kusitisha vita yaliyoingiwa na pande mbili hizo wiki chache zilizopita. Wakati vita vinaanza...

Recent articles