Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Unaitumiaje wikiendi yako?

Na mwandishi wetu, Gazetini UTAFITI wa Shirika la Takwimu za Kazi la Marekani umefichua namna watu nchini humo wanavyozitumia siku zao mbili za mapumziko ya...

Netanyahu kukamatwa Marekani, kupelekwa ICC?

WASHINGTON DC, Marekani WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, atakuwa Ikulu ya Marekani Jumanne ya wiki ijayo alikoalikwa na mwenyeji wake, Rais Donald Trump. Netanyahu amealikwa...

Joshua amtwanga mtu kwa ‘KO’

RIYADH, Saudi Arabia BONDIA wa ngumi za uzito wa juu, Anthony Joshua, amempiga kwa KO ya raundi ya pili Kristian Prenga, pambano lililopigwa mjini Jeddah,...

Di Maria ataka Messi asistaafu

LONDON, Uingereza LEJENDARI wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Angel Di Maria, amemtaka Lionel Messi kuachana na wazo la kutundika daluga. Di Maria amekuja...

Arsenal yamalizana na Donczew

LONDON, Uingereza KLABU ya Arsenal imekamilisha usajili wa kiungo wa Cardiff City, Axel Donczew, ambaye ni 'bwana mdogo' mwenye umri wa miaka 16. Kwa mujibu wa...

Jurgen Klopp: ‘Nabii’ aliyekabidhiwa mzigo mzito Ujerumani

MUNICH, Ujerumani WIKI chache zilizopita, alikuwa kwenye meza ya uchambuzi wa mechi za Kombe la Dunia akiishuhudia timu yake ya Taifa ya Ujerumani ikiondoshwa na...

Norway kumshitaki Trump kisa Kombe la Dunia

OSLO, Norway SHIRIKISHO la Soka la Norway (NFF) limetangaza nia yake ya kumshitaki Rais Donald Trump kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Norway wanapeleka barua...

Wanasheria waliomba jeshi kumwachia Rais

NIAMEY, Niger WANASHERIA wa Rais wa zamani wa Niger, Mohamed Bazoum, wameomba kiongozi huyo aachiwe huru, ikiwa ni miaka mitatu tangu aliposhikiliwa na jeshi. Bazoum mwenye...

Gen-Z wamng’oa Waziri wa Elimu

NEW DELHI, India MAANDAMANO makubwa ya vijana wa Gen-Z nchini India yamemlazimisha Waziri wa Elimu, Dharmendra Pradhan, kuachia ngazi. Hatua ya vijana, wengi wao wakiwa ni...

Kiungo kukimbia benchi Arsenal

LONDON, Uingereza KIUNGO wa Arsenal raia wa Ureno, Fabio Vieira, anajiandaa kuondoka klabuni hapo kipindi hiki cha usajili wa dirisha kubwa. Nyota huyo mwenye umri wa...

Madrid, PSG, Liver kazi ipo kwa Diomande

MADRID, Hispania KLABU ya Real Madrid imewasilisha ofa yake ya Pauni milioni 85 kwa RB Leipzig wakiitaka saini ya winga wa klabu hiyo ya Bundesliga,...

Wagombea sita, nani Katibu Mkuu UN?

NEW YORK, Marekani BAADA ya miaka 10 ya kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, atakabidhi kijiti hicho kwa mtu mwingine ifikapo...

Recent articles