BOSTON, Marekani
RUDI GARCIA wa Ubelgiji ni miongoni mwa makocha waliojikuta kwenye wakati mgumu katika fainali zilizopita za Kombe la Dunia.
Itakumbukwa kuwa Garcia aliondoka kwenye...
HAGUE, Uswis
ALIYEKUWA Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan, ameondoshwa kwenye nafasi hiyo.
Ni baada ya nchi wanachama kukutana jana...
LAGOS, Nigeria
MAHAKAMA nchini Nigeria imewahukumu kifungo cha maisha jela wanaume watatu baada ya kupatikana na hatia ya makosa yanayohusiana na utekaji wa makumi ya...
LONDON, Uingereza
WAKATI anakabidhiwa mikoba ya kuinoa Aston Villa mwaka 2022, Unai Emery aliikuta timu hiyo ikiwa nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Ligi Kuu...
KYIV, Ukraine
HIVI karibuni, Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, alimfuta kazi Mkuu wa Majeshi, jenerali Oleksandr Syrskii, siku chache baada ya 'kumtumbua' Waziri wa Ulinzi,...
CAIRO, Misri
BAADA ya kumalizika kwa fainali za Kombe la Dunia, sasa macho na masikio ya mashabiki ya wapenzi wa soka yataelekezwa katika michuano ya...
WASHINGTON DC, Marekani
HIVI karibuni, Katibu Mkuu wa Ikulu ya Marekani, Marco Rubio, alikuwa Manila, Ufilipino, ambako alikutana na kufanya mazungumzo na Katibu wa Wizara...
LONDON, Uingereza
WAKATI ikiwapo dhana kuwa wafanyabiashara wakubwa wamekuwa na kawaida ya kukwepa kodi za serikali katika nchi zao, kwa Uingereza imekuwa tofauti.
Kundi la mamilionea...
KINSHASA, DRC
WATU zaidi ya 1,000 wameshapoteza maisha ndani ya miezi miwili ya ugonjwa wa Ebola nchini DRC, idadi kubwa zaidi, ikilinganishwa na mlipuko wa...
MUNICH, Ujerumani
BEKI wa kati wa zamani wa Arsenal, Per Mertesacker, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Michezo wa Chama cha Soka cha Ujerumani (DFB).
Mertesacker mwenye umri...
LOS ANGELES, Marekani
SUPASTAA wa muziki wa R&B, Chris Brown, amekutwa na hatia katika kesi ya kumshambulia mtu kwenye ukumbi wa starehe nyakati za usiku.
Brown...