LONDON, Uingereza
MWAKA huu haiushi. Huenda Tyson Fury na Muingereza mwenzake wa ngumi za uzito wa juu, Anthony Joshua, wakazichapa kama si Oktoba, basi Novemba,...
BERLIN, Ujerumani
MAHAKAMA nchini Ujerumani imemuhukumu kifo cha maisha gerezani daktari aliyebainika kuua wagonjwa wake 15, wakiwamo wanawake 12.
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Johannes...
MONACO, Ufaransa
MTENDAJI Mkuu wa klabu ya soka ya Monaco, Thiago Scuro, amesema wako tayari kumruhusu kiungo Paul Pogba kuondoka klabuni hapo.
Kwa mujibu wa Scuro,...
Na Imani Nathaniel, Gazetini
Mkurugenzi Mkuu wa Halotel Tanzania, Bui Van Thang, ametembelea banda la kampuni hiyo katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa...
WASHINGRON, Marekani
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema Marekani inaweza kuanzisha mashambulizi mengine makubwa dhidi ya Iran, akidai kuwa operesheni za kijeshi zilizofanyika usiku uliopita...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limetangaza kukatika kwa huduma ya umeme katika baadhi ya maeneo ya mikoa ya Morogoro na Tanga...
CATALUNYA, Barcelona
BADO mabosi wa Barcelona wanaumiza vichwa kujua ni straika yupi sahihi kati ya Julian Alvarez wa Atletico Madrid na Harry Kane wa Bayern...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
YANGA wanaelekea katika Uchaguzi Mkuu, ambapo mchakato huo wa kidemokrasia unatarajiwa kufanyika Agosti 2, 2026.
Ukiwa ni mwezi mmoja kabla ya Uchaguzi,...