19.7 C
New York

Mashabiki Fulham wazomea wachezaji

Published:

LONDON, Uingereza

UZALENDO uliwashinda mashabiki wa Fulham na kuamua kuwazomea wachezaji wao baada ya timu hiyo kufungwa mabao 3-2 na Crystal Palace jana Septemba 5, 2026.

Fulham walikuwa na nafasi nzuri ya kuondoka na pointi tatu baada ya kuongoza mara mbili katika kipindi cha kwanza cha mechi hiyo ya Ligi Kuu.

Mabao hayo ya ndani ya dakika 45 yalifungwa na Josh King na mchezaji wao mpya aliyesajiliwa majira haya ya kiangazi, Cesar Palacios.

Hata hivyo, dakika 90 zilimazilika kwa timu hiyo ya jijini London kupoteza mechi yake ya tatu mfululizo msimu huu wa Ligi (2026-27).

Aidha, presha ni kubwa zaidi kwa kocha mpya, Alvaro Arbeloa, ambaye alichukua nafasi ya Marco Silva akitokea Real Madrid. Silva ametua Benfica.

Related articles

Recent articles