LOS ANGELES, Marekani
MKONGWE wa mchezo wa mieleka, John Cena, bado anaamini lejendari wa Brazil, Pele, ndiye mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa...
LONDON, Uingereza
ALIYEWAHI kuwa beki tegemeo wa Liverpool, Jamie Carragher, amezitabiria Manchester City na Arsenal kutwaa taji la msimu huu wa Ligi Kuu ya England...
MANCHESTER, Uingereza
NAHODHA wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amekiri kutokuvutiwa na viwango vya mastaa wawili wa timu hiyo, Youri Tielemans na Kobbie Mainoo.
Neville...
LONDON, Uingereza
MKONGWE wa Arsenal David O’Leary, amehoji sababu ya winga Bukayo Saka kuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi klabuni hapo.
O’Leary ameibuka baada ya Arsenal...
LAGOS, Nigeria
LEJENDARI wa timu ya soka ya Taifa ya Nigeria 'Super Eagles', Austin 'Jay-Jay' Okocha, amezitaja Barcelona, Manchester City na Bayern Munich kuwa ndizo...
Na Malima Lubasha, Serengeti
MKAZI wa Kijiji cha Bisarara, Kata ya Sedeco, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Samwel Kegoro (53), amefariki dunia baada ya kudaiwa...
PPORTUGAL, Ureno
SHIRIKISHO la Soka la Ureno (FPF) limemwekea nahodha wa timu ya taifa, Cristiano Ronaldo, adhabu ya kusimamishwa kwa muda kufuatia kuondoka kwake kambini...
Na mwandishi wetu, gazetini
DE La Rose ambaye ni mwanamuziki na msanii wa maudhui ya mtandaoni, amesema hajaacha muziki kama ambavyo baadhi ya watu wanafikiria...
Na mwandishi wetu,Gazetini
WAKALA wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umegusa maisha ya wananachi wa Mkoa wa Kilimanjaro kupitia kampeni yake ya huduma...
LONDON, Uingereza
LIONEL Messi amefunga mara mbili wakati timu yake ya Inter Miami ikiibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya DC United katika mchezo...
MELBOURNE, Australia
AKIWA na umri wa miaka 41, mwanariadha raia wa Kenya, Eliud Kipchoge, ameweka rekodi ya aina yake kwenye michuano ya Marathon ya Melbourne.
Staa...
LAGOS, Nigeria
SUPASTAA wa muziki wa Hip hop huko Marekani, Nicki Minaj, amelaani matukio ya kuuawa kwa waumini wa Dini ya Ukiristo nchini Nigeria.
Minaj amesema...