MADRID, Hispania
KISIWA cha Ibiza. Kinapatikana nchini Hispania na ni moja ya maeneo ghali na yenye starehe za kiwango cha juu duniani.
Kutokana na upekee wake,...
MONACO, Ufaransa
KATIKA video iliyosambaa mitandaoni, kiungo wa zamani wa Manchester United, Paul Pogba, anaonekana akimwaga machozi wakati akisaini mkataba wa kujiunga na Monaco ya...
LONDON, England
MAURICIO Pochettino ni miongoni mwa makocha waliokuwa kwenye usahili wakati Brentford ilipokuwa ikisaka kocha hivi karibuni.
Pochettino aliyewahi kufanya kazi Ligi Kuu ya England...
KWA saa 24 zilizopita, mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza yamesababisha vifo vya Wapalestina 81, huku zaidi ya 800 wakijeruhiwa.
Asubuhi ya leo (Jumamosi),...
Na Mwandishi Wetu
Rais Samia Suluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kuongeza jitihada katika kupambana na matukio ya uhalifu, hususan vitendo vya kupotea kwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Debora Mwenda, ametangaza vita dhidi ya mpinzani wake Asia Meshack , akiahidi kulipa kisasi katika...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa nguzo ya kuimarisha mshikamano na umoja wa kitaifa na kufanikisha maendeleo katika...
*Ni kwa mujibu wa maoni ya watumiaji wa mtandao wa Reddit
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Utafiti uliofanyika kupitia jukwaa la mtandaoni la Reddit na kuhusisha maoni...
Na Mwandishi Wetu
Yanga imefanikiwa kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuichapa Simba mabao 2-0, kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es...
Na Mwandishi Wetu
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Msumbiji katika kuleta maendeleo , ustawi wa wananchi ikiwamo kuimarisha uhusiano kibiasharana baina ya nchi hizo mbili na kukuza mshikamano barani...