Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuandika historia ya kufika makundi, sasa Singida Black Stars inawinda rekodi nyingine ya kushinda mechi kwenye hatua hiyo ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais Samia Suluhu Hassan amemuapisha Dk. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, huku akimtaka kuhakikisha anaongeza kasi...
MERSEYSIDE, UingerezaLIVERPOOL iko taabani. Vipigo vitano katika mechi 11 walizocheza hivi karibuni. Kwa mujibu wa kocha wake, Arne Slot, bado ni mapema kuitoa Liverpool...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza uteuzi Mawaziri 20, watakaunda Baraza jipya litakalosimamia...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Baada ya timu ya JKT Queens kutoa sare mbili mfululizo Ligi ya Mabingwa Wanawake Afrika (CAFWCL), bado ina matumaini ya kutinga...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemthibitisha Dk. Mwigulu Nchemba, kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania akichukua nafasi ya Kassim Majaliwa,...
LONDON, UingerezaSHIRIKISHO la Soka la Ulaya (UEFA) limeshatangaza ratiba ya fainali zijazo za Mataifa ya Ulaya, maarufu kwa jina la 'Euro 2028'.Ratiba inaonesha kuwa...
CATALUNYA, HispaniaMATAJIRI wa klabu ya Barcelona wanaangalia uwezekano wa kuinasa huduma ya mpachikaji mabao wa Bayern Munich, Harry Kane.Mpango wa kumsajili Muingereza huyo umelenga...
RIO, BrazilSTAA wa zamani wa Chelsea, Oscar, huenda akatangaza kutundika daluga kutokana na ushauri wa mkewe na familia.Oscar mwenye umri wa miaka 34, kwa...