WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amemtaka mwenzake wa China, Xi Jinping, kumwachia huru mwanaharakati wa demokrasia mjini Hong Kong, Jimmy Lai.
Lai, ambaye...
LOS ANGELES, Marekani
MWANAMUZIKI ambaye pia ni mshindi mara tano wa tuzo za Grammy, Mariah Carey, atakuwa miongoni mwa watumbuizaji wakati wa hafla ya ufunguzi...
NDOLA, Zambia
MASHABIKI wa soka nchini Zambia wataendelea kuitunza kwenye kumbukumbu zao Aprili 27, 1993. Ilikuwaje siku hiyo? Endelea kusoma.
Siku hiyo, wachezaji wa timu ya...
LONDON, Uingereza
HUENDA kiungo wa pembeni wa Chelsea, Raheem Sterling, akaondoka klabuni hapo na kujiunga na Leeds United au Crystal Palace za Ligi Kuu ya...
CAIRO, Misri
FAINALI za Mataifa ya Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zinatarajiwa kuanza kutimua vumbi Desemba 21, mwaka huu. Zitafanyika nchini Morocco.
Kati ya timu...
LONDON, Uingereza
IKIWA ni miaka minne tangu alipoajiriwa Novemba 2021, kocha Eddie Howe ameingia kwenye hatari ya kufungashiwa virago katika klabu ya Newcastle United.
Newcastle imekuwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WAPO waliozoea kulala wakiwa wamewasha taa zao za ndani nyakati za usiku, bila kufahamu kuwa inaweza kuwasabashia shambulio la moyo au...
CATALUNYA, Hispania
MWANAMFALME wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ametenga kitita cha euro bilioni 10 ili kuinunua klabu ya Barcelona.
Aliyefichua mpango huo ni mwandishi wa...
MIAMI, Marekani
INTER Miami ya Marekani imemsajili mlinzi wa kushoto wa zamani wa Tottenham na Real Madrid, Sergio Reguilon, akiwa mchezaji huru.
Reguilon mwenye umri wa...
BEIJING, China
MWANAHARAKATI wa demokrasia wa Hong Kong, Jimmy Lai, atahukumiwa kifungo cha maisha gerezani endapo atakutwa na hatia katika mashitaka yanayomkabili.
Lai (78), anashutumiwa kwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UTAFITI wa Deutsche Bank umefuatilia maisha ya miji 69 duniani na kubaini tofauti iliyopo katika mishahara wanayolipwa wafanyakazi kila mwezi. Aidha,...
LOME, Togo
ILIKUWA ni mwaka 2010, ambapo kikundi cha watu wenye silaha za kivita kililiteka basi la wachezaji wa timu ya taifa ya Togo.
Ilikuwaje?
Ni...