LONDON, Uingereza
TIMU ya waokoaji wa Mlima Ben Nevis imelazimika kumuokoa mbwa aliyepoteza fahamu baada ya kutumia kilevi aina ya bangi.
Tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita,...
NEW YORK, Marekani
URUSI imekuwa ikiitegemea Japan katika teknolojia na udukuzi wakati huu wa vita vyake na Ukraine, kwa mujibu wa ripoti ya Gazeti la...
BANGKOK, Thailand
TUKIO la baa kuwaka moto na kuua watu 27, sambamba na kujeruhi wengine kadhaa, mjini Bangkok, Thailand, limeteka vichwa vya habari duniani.
Wakati huo...
LONDON, Uingereza
NJE ya soka, Erling Haaland ni baba wa mtoto mmoja wa kiume aliyezaliwa Desemba, 2024. Pia, mwanasoka huyo ni mpenzi wa mrembo Isabel...
BOSTON, Marekani
NI timu nne pekee zilizobaki katika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026). Kwamba timu 44 zimeshaaga mashindano hayo ya Shirikisho...
BOSTON, Marekani
KICHAPO cha mabao 2-1 kutoka kwa Hispania katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Dunia kilihitimisha safari ya 'kizazi cha dhahabu' cha...
TEHRAN, Iran
MASHAMBULIZI yanayoendelea kati ya Marekani na Iran yameripotiwa kupunguza kwa asilimia 50 idadi ya meli za mafuta na gesi zinazopita katika Mlango-Bahari wa...
LONDON, Uingereza
KOCHA mpya wa Chelsea, Xabi Alonso, ameitaka klabu hiyo kumsajili beki wa klabu yake ya zamani ya Real Madrid, Alvaro Carreras.
Alonso anataka mlinzi...